06 December 2011

Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Nishati na Maji (EWURA), Bw. Titus Kaguo akitoa ufafanuzi wa kazi za EWURA kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge (katikati aliyevaa kaunda suti) na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mhandisi Christopher Sayi walipotembelea banda la Mamlaka hiyo, Dar es Salaam Jana, wakati wa maonesho ya miaka 50 ya uhuru yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jana.

No comments:

Post a Comment