14 December 2011

Meneja Uendeshaji wa Asasi isiyokuwa ya kiserikali ya Under The Same Sun, Bw. Gamaliel Mboya, akionesha picha ya mlemavu wa ngozi aliyepoteza maisha kwa kukosa dawa, wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu Saratani kwa walemavu wa ngozi. Kushoto ni Mratibu wa Ufadhili wa Asasi hiyo Bw. Seif Kondo.

No comments:

Post a Comment