Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya Umoja Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam, kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana, wakati akiwahamasisha kuchangia uanzishwaji wa Televisheni ya Kwanza ya Kiislam nchini (TV Iman). |
No comments:
Post a Comment