Mwakilishi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Mhandisi Ladislaus Kyaruzi, akizungumza na waandishi wa habari, (hawako pichani), Dar es Salaam jana, wakati wa mkutano wa mashirika mawili ya kiraia, TADIP na KAS kuhusu mjadala wa mabadiliko ya tabia Nchi. Kulia ni Mwenyekiti wa Mjadala Bw. Salim Zagar. |
No comments:
Post a Comment