Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi sh. milioni Tatu kwa mshindi wa Promosheni ya "WEKA AKIBA USHINDE", Bw. Tom Josen kutoka Tawi la Metropolitan, Dar es Salaam Juzi. Promosheni hiyo ilianza Juni mwaka huu na droo kubwa ya mwisho itachezwa mwishoni mwa mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment