11 October 2011

................................

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Shamsi Vuai Naodha (kushoto) akipokea sehemu ya msaada wa pikipiki kutoka kwa Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Dolphin Water, Bw. Aloys Mwanga, wakati wa kuchangia kazi za ulinzi na usalama katika kanda maalum ya kipolisi ya Dar es salaam jana. Wa pili kushoto ni IGP Saidi Mwema na Meneja usafirishaji wa Kampuni hiyo, Bw, Vedasto Lukuchu.

No comments:

Post a Comment