ingetokea karibu na uchaguzi hapo, ungona misaada na misosi ambavyo ingemiminwa na watarajiwa! lakini kwa bahati mbaya uchaguzi tayari, waliopata wamepata watoto hao wataishia kula chama tu. Jamaa wana-exuse yao, "hawakuepo" "wapo Dodoma ktk session" poleni watoto!
This is so sad! Nadhani serikali iltakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kila mtoto anapatiwa chakula, maji na mahali pa kulala hadi wazazi wao watakapo watambua. Naomba pia watanzania tujitoe kwa moyo kwani hawa ni watoto wetu chochote ulichonacho unaweza kupeleka kama msaada.
ingetokea karibu na uchaguzi hapo, ungona misaada na misosi ambavyo ingemiminwa na watarajiwa! lakini kwa bahati mbaya uchaguzi tayari, waliopata wamepata watoto hao wataishia kula chama tu. Jamaa wana-exuse yao, "hawakuepo" "wapo Dodoma ktk session" poleni watoto!
ReplyDeleteThis is so sad! Nadhani serikali iltakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kila mtoto anapatiwa chakula, maji na mahali pa kulala hadi wazazi wao watakapo watambua. Naomba pia watanzania tujitoe kwa moyo kwani hawa ni watoto wetu chochote ulichonacho unaweza kupeleka kama msaada.
ReplyDelete