18 February 2011

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama Tanzania JWTZ, Bw.Davis Mwamunyange, akijadili kitu katika eneo la tukio.

5 comments:

  1. TULISEMA SERIKALI INAMWWAGA DAMU ZA RAIA KWA KUWAUA MKABISHA, SASA HICHO NI NINI? SHIMBO ALIYOSEMA SHIMBO ATAFANYA NDIYO HAYO KAFANYA; MUNGU ANAWAUMBUA KWA KUSEMA UONGO NA KUKATAA KWAMBA HAMKUUA, ANAWAUMBUA KWAMBA MLIFANYA KWA KUONYESHA HADHARANI VITENDO VYENU UKONGA. KATAENI SASA!

    ReplyDelete
  2. SERIKALI YA KIKWETE IPO HOI NA TAABHANI.SISI YETU MACHO NAJUTIA KOFIA NA KHANGA NILIYOPEWA NA KUGAWA KURA YANGU MATOKEO YAKE NIMEWAPOTEZA NDUGU ZANGU!!!!!!MUNGU NISAIDIE NISIJERUDIA HUU UJINGA TENA 2015

    ReplyDelete
  3. Mkuu, tatizo mnajishughulisha sana na siasa na kuacha wajibu wenu. Ona sasa.

    ReplyDelete
  4. nyie wanajeshi washenzi wauwaji wakubwa na huyo fisadi wenu kikwete toweni vinyuso vyenu mgazetini. ulikuwa mpango wenu tumeshawashtukia

    ReplyDelete
  5. CCM. CHAMA CHA MAUWAJI KITATUMALIZA KWA KUTUTOWA TAMBIKO KWANI NI MPANGO WA SERIKALI KUUWA WATANZANI. KIKWETE UMEFAURU NA UTAPANDISHWA CHEO.

    ReplyDelete