18 February 2011

Nyumba ya mkazi mmoja wa Gongolamboto ikiwa imeharibiwa na Mabomu yaliyolipuka kutoka kambi ya JWTZ Gongolamboto.

1 comment:

  1. Utasikitika fidia atakayopewa huyu aliyeharibikiwa/mrithi wa mali hii. Tunaomba JK wasimamie kwa kuwabana washkaji zako angalau wafanye kazi kwenye hili.

    ReplyDelete