17 February 2011

Habari Katika Picha-Mabomu Gongolamboto

Wakazi wa Gongolamboto wakitazama kwa hofu
kipande cha Bomu kilicholipuka.


8 comments:

  1. HUU NI MPANGO WA SERIKALI KWANI WAMETAMKA WAZI KUWA HAKUNA ASKARI ALIYE KUFA NA KWASABABU HIHIYO WAJUA KABISA KUWA MABOM YATALIPUKA NA NDIYOMAANA WAKAJIHAMI. SERIKLI YA TANZANIAIKO MAHUTUTI.

    ReplyDelete
  2. Polen Watanzania wenzangu kwa mkasa huu, inasikitisha sana kuona kuwa serikali iliahidi baada ya tukio la Mbagala kwamba jambo hili halitatokea tena sasa ni ndani ya miezi tu limetokea, sasa kwanini si mpanga wa serikali ya Kikwete, anaaliza uongozi na maelefu ya watu kupoteza maisha. Furaha ya kikwete na serikali yake ni kuona polisi wako salama ili raia wamekufa nadiyo badala ya kuwambia watu wakimbie polisi pekeyao ndiyo walikimbia wapi na wapi.

    ReplyDelete
  3. HUU NI MPANGO TU WA CCM KUTAKA KUVURUGA MAMBO MENGINE. KWANINI JESHI LAO LINALOUWA WATU HALIKUATHIRIKA ILA WANANCHI. KIKWETE USHUKURU WATANZANIA BADO WANAKUFEV VINGINENYO PANGEPITWA.

    ReplyDelete
  4. LIKWETE TAFADHALI SANA NDANI YA MIEZI MIWILI TU HAKIKISHA UMEHAMISHA MAGARA YOTE YA MABOM NDANI YA MAKZI YA WATU, VINGINEVYO MLIPUKO WOWOTE UKITOKEA HATUTAJALI LOLOTE.
    NA UHAKIKISHE WANANCHI WAMEPATA FIDIA HALALI NDANI YA MIEZI 6, VINGINEVTO LAZIMA KIELEWE.

    ReplyDelete
  5. NAWEWE PINDA UMEONA UONGOZI WENU MNAVYO UENDESHA? WATU WANAOKUFA LEO HAPA TANZANIA MJUWE TU NI KWAUZEMBE WENU. TANGAZENI RASMI KUJIHUZURU MMESHINDWA KAZI.

    ReplyDelete
  6. "HAKUNA ASKALI ALIYE KUFA" TAMKO LA KIKWETE WENZANGU MNALIOAJE?
    JE WALIOKUFA SIO WATU?
    WEWE BINAFSI WALIPA TAFSIRI GANI?
    JE HUU SI MPANGO?
    AU JE TUUITE NINI SASA.
    POLENI WENZANGU WATANZANIA KWA YOTE HAYO.

    ReplyDelete
  7. Natanguliza pole kwa wote waliokumbwa na mlipuko huu watanzania wenzangu tuwe wavumilivu kwanza,inauma sana lakini tuwaachie wahusika kwanza.

    ReplyDelete
  8. pole sana nduguzanguni kwa matatizo yaliyo wakumba/
    mimi naona huu ni mpango wa serikali yetu kulisafisha jiji lakini hii si njia nzuri wawe nahuruma au tuandamane hadi maofisi mwao. kikwete acha siasa hadi kwenye maisha ya watu..

    ReplyDelete