Na Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete, amemutea
Dkt. Asha-Rose Migiro, kuwa mbunge wa kuteuliwa.Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam na Kaimu
Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Florens Turuka, ilisema uteuzi huo umeanza jana.
Kwa sasa Dkt. Migiro ni
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Pia amewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja
wa Mataifa (UN), baada ya kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja uo, Bw. Ban
Ki-Moon, Januari 2007 hadi 2012.
Sweetness and virtue.
ReplyDeleteSweet and tender
delight, I see
your profile
walking alone
where a candour
returns and the
wind's intuition
appears near
a shade...
Francesco Sinibaldi