14 January 2013

AJALI


Baadhi ya waendesha pikipiki za gurudumu tatu 'Bajaj' na wakiitoa pikipiki yenye namba T 546 CWF, iliyotumbukia mtaroni eneo la Rafia Barabara ya Old Bagamoyo, Tegeta Dar es Salaam jana, baada ya kusukumwa kwa mkono na dereva daladala linalosafiri kati ya Bagamoyo na Mwenge (Halipo pichani) baada ya dereva huyo kuichomekea bajaji hiyo. (Picha na Gladness Theonest)

No comments:

Post a Comment