Mchezaji wa timu ya Kigoma, Seif Ibrahim (kulia) akigombania mpira na beki wa Lindi Fikira Amir katika ya moja ya mechi zinazoendelea za michuano ya taifa ya Copa Coca-Cola kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Kigoma ilishinda mabao 2-0. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment