26 June 2012

MSINGI

Diwani wa Kata ya Uwanja wa Taifa, Bw. Zumo Makame (aliyeinama ndani ya mtaro) akichimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Kata kama moja ya kuhamasisha wananchi kujitolea nguvu kazi ili kupunguza gharama za ujenzi wa Ofisi hiyo.Wengine ni baadhi ya wananchi wakishirikiana pamoja.(Picha na Ramadhan Libenanga)

1 comment:

  1. SIJUI DIWANI HUYO NI WA CHAMA GANI? CHAMA KILICHOKUWA NA SERA HIYO NI CHA TANU NA KURITHIWA NA CCM WAKATI WA CHAMA KIMOJA .INAWEZEKANA DIWANI HUYU ALIPITIA JKT SIAMINI NI WA KIZAZI CHA DOTKOM KILA KITU SERIKALI SIJUI SERIKALI NI NINI???

    ReplyDelete