Dereva wa daladala hili linalofanya safari kati ya Gongolamboto na Posta akijadiliana jambo na mmoja wa abiria (katikati) baada ya kuharibika na kushindwa kuendelea na safari kama lilivyokutwa eneo Akiba, Barabara ya Bibi Titi Mohamed Dar es Salaam jana, kulia ni kondakta wa basi hilo. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment