Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na
watendaji wa Ofisi za Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika mkutano wa
majumuisho uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni jana, mara,baada ya kumaliziki kwa ziara katika mkoa huo jana, (kulia) ni Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi..
(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
No comments:
Post a Comment