Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Bw. Said Mwambungu (wa pili), akikagua gwaride la askari wapya 822 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wakati wa kufunga mafunzo yao ya miezi sita kwenye uwanja wa Mlale JKT jana. Kushoto ni Kamanda wa gwaride hilo Meja Aman Ramadhan. |
No comments:
Post a Comment