Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Sadik Mecky Sadik (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bi. Susan Omar (katikati), baada ya kupokea msaada wa mabati 500 yaliyotolewa na shirika hilo, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, Dar es Salaam jana. |
Mabati 500 ni kujitafutia umaarufu tu! Bati bila nyumba zinasaidia nini wajameni? Wanaendelea kujenga majumba ya ghorofa 6 wakati wangeweza kujenga za 35, ni uhuni mtupu wa kulehga wanalionazo.
ReplyDeleteSijui mtoa maoni hapo juu kaongea nini. Kama huna cha maana cha kuongea bora ukae kimya tu.
ReplyDelete