Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Bw. Absalom Kibanda (kulia), akiwa na mwanasheria wake, Bw. Juvenalis Ngowi (katikati), nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, baada ya kesi ya kuchapisha habari za uchochezi, inayomkabilikuahirishwa jana. Kushoto ni Katibu wa Jukwaa la Wahariri, Bw. Neville Meena. |
No comments:
Post a Comment