Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Dkt. Servasius Likwelile (kulia), akikabidhi cheti kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Mantra Tanzania, Bw. Asa Mwaipopo (kushoto), baada ya kampuni hiyo kuibuka mlipa kodi mkuu kwa mwaka 2010, Wilaya ya Kinondoni, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kodi Dar es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka wa Mapato Tanzania (TRA) Bw. Harry Kitillya na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Benard Mchomvu. |
No comments:
Post a Comment