Mwenyekiti wa chama cha Kijamii (CCK ) Bw. Costantine Akitanda, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mapendekezo ya Kamati teule ya Bunge, iliyochunguza sakata la Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw. David Jairo. Kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho Bw. Renatus Moabhi. |
No comments:
Post a Comment