Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto), na MKurugenzi wa Huduma za Kibenki wa CITI BANK Bw. Gasper Njuu, wakisaini mkataba utakaowezesha wateja wa benki hizo kupata huduma kwenye matawi ya benki hizo, Dar es Salaam jana. |
No comments:
Post a Comment