17 February 2011

Mkazi huyu wa Gongolamboto akimuonesha askari wa
jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kuta iliyopenyuliwa
na Bomu kutoka Ghala la Ukonga. 

2 comments:

  1. TAMKO LA KIKWETE "HAKUNA ASKARI WALIOKUFA" KUMBE KWAKE KIFO CHA ASKARI NDICHO KINACHO MGUSA TU? NA HAWA MAKUMI YALIYO KUFA AMBAO NI RAIA? RAIS WANAMA HII IPO KAZI, NA HUYO ASKARI HAPO NDIYO KUMEKUCHA KUWASAIDIA WATU? TOWENI VIWINGU MAASKARI GANI NYIE. J.KIWETE TUMIA LUGHA NZURI TUNAJUA NIMPANGO WENU NDIYO MAANA UNAJISIFU KWAMBA HAKUNA ASKALI ALIYE KUFA. WATAKUFAJA NAO WALIJUA NA WAKAJIHAMI WAO NA FAMILIA ZAO? MNATUONEA KWA KUTUUWA HOVYO SISI WATANZANIA.

    ReplyDelete
  2. polen ndugu zangu. lakin kwanini serikali inajisahau kiasi hicho. na kama ni mabomu ya kivita yamelipuka mbona mpo shalo yanaweza kupigania vita kweli, kwasababu naamini mabomu haswa yangelipua dar nzima hadiIKULU. hiyo ni mipango tuu ya kupatia fedha.Ndg Kikwete pole sana majukumu ya Serikali ni magumu sana mangapi utatekeleza kama hadi haya wanakubebesha amini watu hawakupendi. ila mungu akutie nguvu amina. TANZANIA HAKUNA VIFAA MABOMU YANALIPUKA NA KUARIBU SEHEMU NDOGO HIVYO AU NI YA MACHOZI HIYO MLIPANGA TUU. BY talentpilato@gmail.com

    ReplyDelete