26 September 2012

Mtikila


Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP) Mchungaji, Christopher Mtikila akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, baada ya kuachiwa huru katika kesi ya kuchapisha na kusambaza waraka wa uchochezi dhidi ya Rais Jakaya Kikwete. Kushoto ni Mchungaji Wilbert Ngowi. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment