Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kulia), akisikiliza maelezo ya Mkaguzi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Abel Swai, jinsi madereva wazembe wanavyosababisha ajali, alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Ndani kwenye maonesho ya Wizara mbalimbali viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba, Dar es Salaam jana. |
No comments:
Post a Comment