Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Bw. Erasto Sima akimpakata mtoto Zaina Jackson alipomtembelea mama wa mtoto huyo, mwanafunzi Mariam Mohamed (kushoto) nyumbani kwao Kwa Mdulu, Tanga juzi. Mariam aliyekuwa akisoma Shule ya Sekondari Kilole alipewa ujauzito akiwa shuleni, lakini aliweza kufanya mtihani wake wa kumaliza Kidato cha Nne iliyomalizika hivi karibuni huku akiwa na mwanawe shuleni. Mwanafunzi huyo alijifungua Septemba 8 mwaka huu wiki tatu kabla ya kuanza mitihani hiyo. |
No comments:
Post a Comment