tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post8593341566940755317..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: JUKWAA LA KATIBA SASA KUMVAA JKHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-77088404626238813712013-09-27T10:34:05.098+03:002013-09-27T10:34:05.098+03:00Ni kweli sheria ina upungufu. Tatizo ni jinsi Maon...Ni kweli sheria ina upungufu. Tatizo ni jinsi Maoni ya Jaji Warioba yanavytafriwa visivyo.

Tanzania haiko katika vita. Tanzania haiko kwenye utawala wa kiimla! Tanzania inatoa uhuru mkubwa wa kujieleza na kutoa maoni.
Jaji warioba ni mtu alyeelimika na kubobea kwa fani yake. Anaelewa wazi kua CCM bado ni chaguo la wengi (Majority party). Muelekeo wowote unaoheshimu demokrasia lazima uheshimu maoni na uchaguzi wa wanaccm.
Mabadilliko ya dhati ya katiba ni muhimu sana kwa wakati huu. Mifumo ya kiuchumi na taratibu za maisha zimebadilika sana. Kuna maswala mapya ama mtambuka kama umilikaji wa aridhi ambayo ni kiu ya kila Mtanzania bila kujali hali yake. Lazima uwekewe mfumo unaoleweka. Kuna uvumbuzi wa raslimali za madini. Ni swala jipya linaltakiwa kuwekewa utaratibu unaeleweka. Kuna maswala ya ndoa na uraia. Watanzania wanaoa na kuolewa nje ya nchi. Linataka kuwekewa utaratibu. Kuna mabadiliko ya mtindo wa uchumi na uwekezaji. Kuna ongezeko la watu na idadi ya watu waliosoma na kupata elimu nzuri na kutoa ushindani katika ajira kuliko hukon nyuma ambapo waliosoma walikua wachache tu. Nalo linatakiwa kuwekewa utaratibu ili kuwe na fair play. Kuna utitiri wa mambo ya msingi.

La kushangaza ni kuona jinsi wenzetu wasivyotaka kufuata utaratibu wowote ule na kuingiza utashi wao wa kisiasa.
Jamani hao wanataka kuingia ikulu? Swali ni je wataturuhusu kuwafuata huko ama watatuacha na matatizo yetu? Speed yao yao ni kali mno na inatisha!
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-19626930709729779202013-09-27T07:02:28.092+03:002013-09-27T07:02:28.092+03:00 Wakati wananchi wa kada mbalimbali wakishinikiza ... Wakati wananchi wa kada mbalimbali wakishinikiza Rais Jakaya Kikwete kutokusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013, kwa maelezo kuwa una kasoro, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba naye amesema sheria ina upungufu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-61762459488519649702013-09-27T07:01:16.472+03:002013-09-27T07:01:16.472+03:00 Wakati wananchi wa kada mbalimbali wakishinikiza ... Wakati wananchi wa kada mbalimbali wakishinikiza Rais Jakaya Kikwete kutokusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013, kwa maelezo kuwa una kasoro, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba naye amesema sheria ina upungufu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-92037019732348025492013-09-17T21:25:40.415+03:002013-09-17T21:25:40.415+03:00Tumeshajipambanua bwana. Sisi ni chadema "B&q...Tumeshajipambanua bwana. Sisi ni chadema "B"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-48417623836521741992013-09-16T21:24:40.756+03:002013-09-16T21:24:40.756+03:00Laaa wenye nchi ni chadema sio wananchi!!!!! NGO y...Laaa wenye nchi ni chadema sio wananchi!!!!! NGO ya akina kiwia, lema, aikael, ndesa nkAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-5098356009644736752013-09-14T20:15:23.853+03:002013-09-14T20:15:23.853+03:00Rais Kikwete unatakiwa uwe jasiri kutoa maamuzi ma...Rais Kikwete unatakiwa uwe jasiri kutoa maamuzi magumu , usiogope kulaumiwa na wana CCM kwani wenye nchi ni wananchi wenyewe na nyie viongozi mmepewa dhamana ya kusimamia nchi kwa niaba ya watanzania wote.Katiba isiyokidhi matakwa ya wananchi italeta athari kubwa sana sasa na kwa vizazi vijavyo wakati wewe na mimi hatutakuwepo wakati huo Watanzania wakiteseka kwa ujinga na tamaa ya baadhi ya watu wanaotaka kulinda masilahi yao.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-68085621304798240582013-09-13T10:34:43.145+03:002013-09-13T10:34:43.145+03:00tunapokwenda wa Tanzaia sasa.....tuombe Mungu tutunapokwenda wa Tanzaia sasa.....tuombe Mungu tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-40954651882251738982013-09-12T14:43:15.399+03:002013-09-12T14:43:15.399+03:00nadhani mnaojiita jukwaa la katiba hata katiba yen...nadhani mnaojiita jukwaa la katiba hata katiba yenyewe hamjui, ushauri wa bure nendeni kasomeni hata cheti cha sheria kidogo mtapanua mawazo yenu juu ya kitu mnachokipigania.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-16906667528931423172013-09-12T12:32:02.214+03:002013-09-12T12:32:02.214+03:00kimsingi mara kwa mara nimekuwa nikifuatilia mis...kimsingi mara kwa mara nimekuwa nikifuatilia misimamo yenu nimekuwa nikipata shaka kutokana na jinsi ambavyo mmeshindwa kujipambanua kuwa ninyi ni wanasiasa ,wanaharakati,wababaishaji au wanasheria ,kwani mmekuwa mikidandia hoja hovyo bila ya kueleweka kuwa kazi yenu ni nini acheni tabia ya kupenda umaarufu wa bei rahisi(cheep popularality) tumieni elimu zenu vema .Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-44754238913194554372013-09-12T12:28:30.951+03:002013-09-12T12:28:30.951+03:00mawazo yenu ni mazuri lakini angalieni epukeni kut...mawazo yenu ni mazuri lakini angalieni epukeni kutumika kisiasa kwa kuwa ni ni wataalamu mnategemewa na jamii .Anonymousnoreply@blogger.com