tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post7855637947746830175..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: TCRA yaifungia Radio Imani miezi sitaHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger18125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-25420063590611555832013-03-08T21:58:25.763+03:002013-03-08T21:58:25.763+03:00TULIFIKIRI KUWA NA UHURU USIO NA MIPAKA NDIO DEMOK...TULIFIKIRI KUWA NA UHURU USIO NA MIPAKA NDIO DEMOKRASIA KUWA NA MAJARIDA ZAIDI YA 763 RADIO 86 NA TELEVISHENI 26 HAKUNA CHOMBO CHA KUTATHIMINI NYENDO ZA KILA CHOMBO CHA HABARIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-84817970466732194692013-03-07T15:43:18.516+03:002013-03-07T15:43:18.516+03:00Nchi hii inakwenda huko huko inapoelekea. Ina maan...Nchi hii inakwenda huko huko inapoelekea. Ina maana huioni inapoelekea?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-90225206307424494972013-03-05T18:37:22.583+03:002013-03-05T18:37:22.583+03:00Tumechoshwa hasa naserikali katiba ya Jamhri ya mu...Tumechoshwa hasa naserikali katiba ya Jamhri ya muungano ibara ya 14 "kila mtu anahaki ya kuishi" lakini hawawenzetu waislamu wametoa matamko kibao ya kukusudia kuua tena hadharani DVD,CD tunazo niushahidi tosha je hii nchi inaenda wap?<br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-20532105831028293772013-03-02T07:31:07.796+03:002013-03-02T07:31:07.796+03:00Wewe mwenyewe mwandishi ni mchochezi, kwanini uanz...Wewe mwenyewe mwandishi ni mchochezi, kwanini uanze na kichwa cha habari kama hiki "TCRA YAIFUNGIA REDIO IMAAN MIEZI SITA". Na vituo vilivyofanya makosa ni vitatu? Mwandishi wewe ni mlei mlei mlei. Acha kutangaza dini katika magazeti. Uislam unaenea kwa kasi duniani wewe si mwandishi basi fanya utafiti huko Marekani na Uingereza kisha waandikie wapendwa wako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-61348600014275025352013-03-02T07:22:12.227+03:002013-03-02T07:22:12.227+03:00Wote mliotoa hayo maoni bado na nyinyi mnaingia ka...Wote mliotoa hayo maoni bado na nyinyi mnaingia katika kundi la wachochezi. unapoongea kwamba redio imaan ifutwe unamaanisha nini? Unataka tuamshe hisia zetu? Tuchungeni midomo yenu. Sio kila kitu cha kusema. Halafu mbona hamtoi picha zenu ili tuwajue! Mnaogopa eeeeeeee!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-79634715622580058552013-03-01T15:08:34.491+03:002013-03-01T15:08:34.491+03:00TCRA wamechelewa sana , tena wakristu tu wavumiliv...TCRA wamechelewa sana , tena wakristu tu wavumilivu sana , laiti wangekuwa wao ingekuwa balaaa, sasa na sisi tunakaribia mwisho wa uvumilivu na serikali inayowabeba .Sio mbali 2015 Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-31001066524197797132013-03-01T15:05:27.422+03:002013-03-01T15:05:27.422+03:00Hawa wanaungwa mkono,tumewachok kabisa Hawa wanaungwa mkono,tumewachok kabisa Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-26310652197036558582013-02-28T23:35:52.140+03:002013-02-28T23:35:52.140+03:00Watanzania wapenda Amani, suala la udini linaleta ...Watanzania wapenda Amani, suala la udini linaleta kero kwa sasa. Kama mtu anasimama na kueleza, akiuawa sheikh, imamu, nk. Ua Askofu, Padre, KARDINALI, mchungaji; hii ni dini au kikundi cha wahuni! Watu hawa wamezungumza kwa hadhara kwenye kumbi kubwa kama vile diamond jubilee, lakini hadi leo ndio tunasikia serikali inasema inawatafuta!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-28060910624475116312013-02-28T12:05:59.583+03:002013-02-28T12:05:59.583+03:00Tukiangalia kila kitu kwa jicho la tofauti zetu za...Tukiangalia kila kitu kwa jicho la tofauti zetu za dini, hatutakubaliana kwa lolote. Nadhan mwanadamu aliumbwa kabla ya dini, hivyo akafanywa kuwa bora kuliko dini...kwa nini leo hili suala la dini liharibu mahusiano yetu? Tupende amani na umoja wa Taifa letu halafu dini ifuate...floriannoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-35311959870259171692013-02-28T11:44:21.665+03:002013-02-28T11:44:21.665+03:00Hapa naona bado haki haijatendeka. Hiyo Redio Neem...Hapa naona bado haki haijatendeka. Hiyo Redio Neema imeingizwa tu ili kujastify issue kwamba hao "Waislamu" wajione kwamba hawajaonewa bali hukumu ni kwa wote. This is very stupid. Hivi tutaendelea kuwaogopa hao waislamu mpaka lini? 2015? I now know the reason.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-33130845491564335832013-02-28T09:36:57.329+03:002013-02-28T09:36:57.329+03:00WEWE WATU WAKIZUNGUMZA UKWELI KWAKO NI ASHFA?WAO W...WEWE WATU WAKIZUNGUMZA UKWELI KWAKO NI ASHFA?WAO WANATUMIA KITABU CHAKO HICHOHICHO AMBACHO WEWE WASOMA SIKU YA JPILI TU! UTAKIJUA LINI?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-53144780314185521212013-02-28T09:30:05.216+03:002013-02-28T09:30:05.216+03:00Wewe kama nani unaesema adhabu haitoshi?Tatizo wew...Wewe kama nani unaesema adhabu haitoshi?Tatizo wewe hujui kinachoendelea,usikurupuka na ushabiki wa dini.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-54875467955259374622013-02-27T15:36:48.838+03:002013-02-27T15:36:48.838+03:00Saluti!!! TCRA,tena hata hizo adhabu za millioni t...Saluti!!! TCRA,tena hata hizo adhabu za millioni tano na miezi sita hazitoshi inatakiwa kipindi kifutwe kabisa hizi ni serious issue co za kupuuziwa hata kidogo ndo zinazoleta uchochezi wa kidini pia uvunjifu wa amani nchini.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-47311480609724766952013-02-27T14:25:06.199+03:002013-02-27T14:25:06.199+03:00Hicho kipindi cha Jicho la ng'ombe kilikuwa ki...Hicho kipindi cha Jicho la ng'ombe kilikuwa kinaongelea nini kwa faida ya wengine sisi tusiopenda kusiliza redioAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-41119145561453993422013-02-27T13:17:34.347+03:002013-02-27T13:17:34.347+03:00TCRA WAMECHELEWA SANA KWANI KWANI REDIO IMAN INGET...TCRA WAMECHELEWA SANA KWANI KWANI REDIO IMAN INGETAKIWA KUFUNGIWA MUDA MREFU.SIKU ZOTE IMEKUWA IKIKASHIFU WAKRISTO NA UKRISTO.PIA KUNA GAZETI MOJA LINALOTUKANA UKRISTO SIJUI KWANINI HALIJAFUNGIWA.SERIKALI IMEKUWA NA TABIA YA KUOGOPA WAISLAMU KWANI WAMEKUWA WAKIENDESHA MIHADHARA YA KUKASHIFU WAKRISTO BILA HATA KIBALI.VURUGU ZOTE ZINATOKEA NCHINI ZINAANZISHWA NA WAISLAMU,KAMA WANGEFANYIWA WAO NCHI HII INGESHAINGIA KWENYE VITA.SERIKALI IACHE KUPENDELEAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-1608445451009338392013-02-27T13:00:21.243+03:002013-02-27T13:00:21.243+03:00watangazaji mjifunze kutokana na makosa yenu
watangazaji mjifunze kutokana na makosa yenu<br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-23486156229409551732013-02-27T11:56:33.234+03:002013-02-27T11:56:33.234+03:00naipongeza serikali kupitia TCRA kwa kuwa na msima...naipongeza serikali kupitia TCRA kwa kuwa na msimamo katika kusimamia maadili ya mtanzania...hasa kwa kufuta kipindi cha Jicho la Ng'mbe. <br />floriannoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-40402035206491237552013-02-27T10:52:05.448+03:002013-02-27T10:52:05.448+03:00BRAVO tcraBRAVO tcraAnonymousnoreply@blogger.com