tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post7447521407751063460..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: KESI YA PINDA YAPATA MAJAJIHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-77802662275103955602013-08-22T09:36:39.569+03:002013-08-22T09:36:39.569+03:00Aisee unjua mabezo wewe. Utadhani ilisomea Jamaika...Aisee unjua mabezo wewe. Utadhani ilisomea Jamaika vile! Pinda fanya kazi. Serikali fanyeni kazi wazibitini wahuni hao. Tupo katika vita vya kifikra vijana wetu wanadanganywa na kumalizwa na wahuni mwisho watalizwa tu. Wanapewa ahadi nyingi za uongo kwavile hawajui watanzaia walikuwaje miaka hamsini iliyopita. <br /><br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-73397974820806207592013-08-13T19:38:13.801+03:002013-08-13T19:38:13.801+03:00Acha ujinga wewe! Fikiri kama mtu mwenye akili tim...Acha ujinga wewe! Fikiri kama mtu mwenye akili timamu. Serikali imekuwa dahifu sana ndiyo maana uhalifu unazidi kuchukua kasi ya ajabu sana. Wote walioumizwa ni binadamu. Ni bora tukawashukuru na kuwaunga mkono au kuwatia moyo wale wanaojitokeza adharani kulaani vitendo hivyo vya kiharifu dhidi ya binadamu kuliko kuwalaumu. Nadhani umetumwa, au umekaririshwa au uko nyuma ya uharifu unaotokea. Jitathimini. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-70476650553827091962013-08-13T19:30:32.599+03:002013-08-13T19:30:32.599+03:00Nadhani Pinda alirukwa na akili kwa sababu ya kule...Nadhani Pinda alirukwa na akili kwa sababu ya kulewa madaraka. Viatu alivyovaa ni vikubwa sana. Ubongo wake ni mdogo sana kufikiri mambo makubwa ya kitaifa. Mwanasheria aliyesoma lakini hakuelewa anasomea kitu gani.<br />Amepotza mwelekeo. Zero kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-53411113597320881282013-08-13T18:53:35.700+03:002013-08-13T18:53:35.700+03:00WATOKEZE WANZANIA WA KUISHITAKI TAASISI HAKI ZA BI...WATOKEZE WANZANIA WA KUISHITAKI TAASISI HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA KWA KUFANYA KAZI KAMA CHAMA CHA SIASA NINA ZUNGUMZA HIVYO KUTOKANA NA MATUKIO MENGI YANAYOENDELEA YA WATANZANIA KUJERUHIWA KWA KUMWAGIWA ASIDI ,KUUAWA PADRI AMBROSI,KUAWA MABILLIONEA WAWILI WAKIONE KUWA SIO BINADAMU BALI BINADAMU NI SHEHE PONDA TAASISI HII NI YA KISIASA NA INA UDINI NI AFADHALI IFUTWE HATUNA IMANI NAYO KAMA INALIPWA KWA KODI ZA WATANZANIA IFUTILIWE MBALI INAIPELEKA NCHI JEHANAMUAnonymousnoreply@blogger.com