tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post7074255278361148984..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: FAMILIA YAMBURUTA LIYUMBA KORTINIHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-75503539816414214552013-08-22T09:32:04.868+03:002013-08-22T09:32:04.868+03:00hii story binafsi sijui kama inaukweli ndani yake ...hii story binafsi sijui kama inaukweli ndani yake kwani liyumba kila alioaga mwanamke mmoja tu maishani mwake na ndiye alitambulika na serikali na kila mtu ambae kwa sasa ameshafariki na huyo mama sio huyu mchaga ywye alikuwa kama amechanganya na uzungu na aliachaga mtoto mmoja tu. huyu mana ngowi alizaaga nae tu miaka zaidi ya 30 ilopita. na liyumba kazaazaa tu na wanawake wengi tofauti na kwa ujumla anawatoto kama 10. watu wengine wanataka tu umaarufu kupitia magazeti!.Anonymousnoreply@blogger.com