tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post7064224048593871386..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Vigogo 6 polisi wasimamishwa *Dkt. Nchimbi afichua tuhuma nzito dhidi yao *Wadaiwa kupokea rushwa, kubambikia kesi *Wengine wabadili vidhibiti dawa za kulevyaHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-50901746830974981252013-03-12T13:28:48.236+03:002013-03-12T13:28:48.236+03:00Mh nchimbi hongera sana kwa ujasiri wako lakini tu...Mh nchimbi hongera sana kwa ujasiri wako lakini tunawataka mfahamu kwamba Tanzania sasa hivi kazi katika mashirika na hata serikalini si mali ya masikini bali na kwa ajili ya watoto wa vigogo.Hao uliowafukuza ni matunda ya mfumo uliopo sasa ambao kwa kipingi kirefu serikali imekua ikiutazama huku kukiwa na juhudi hafifu kuutokomeza.Umewafukuza watoto wa masikini na wakulima wadogowadogo ambao kiukweli kama wangetaka wafuate taratibu za ajira hakika wasinge pata hizo nafasi.Hao ni watoto wa masikini kwani tunapaswa kujiuliza upolisi una maslah gani hata mtu ahonge?Tanzania inanuka kwa rushwa tena za wazi wazi lakini sababu ni vigogo waliomadarakani wanapeana kazi kindugu,kikabila na kufahamiana.Tunahitaji uwajibikaji,tunahitaji heshima ya Tanzania ya hayati baba wa Taifa erejee ilivyo kua,tumechoka na hawa wanyang'anyi wasio na huruma kwa uma wa watanzia,tunahitaji adhabu kali ichukuliwe dhidi ya hawa wanyanyasaji.
james peternoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-62127126263003714972013-03-12T07:03:33.411+03:002013-03-12T07:03:33.411+03:00Napenda kumpongeza waziri wa mambo ya ndani ya nch...Napenda kumpongeza waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa ujasiri anaoanza kuonyesha dhidi ya kukemea maovu na kuangalia usalama wa wananchi na haki zao

Mbali na pongezi hizo kuna sehemu imenigusa kama mzazi kule kuwafukuza wanafunzi walio kwenye chuo cha polisi pale Moshi inaniuma kidogo

Ni ukweli usiofichika kuwa wametoa rushwa ili kupata ajira katika soko la ajira ambalo limekuwa gumu mahali pote siyo kwa wazawa watanzania tu hata mataifa mengine wamejazana kwenye nchi yetu kutafuta ajira na juu ya kuishi.

Kwanza naomba ieleweke wazazi wa wamewasomesha watoto wao hadi labda chuo kikuu na na baadhi wanawaona watoto wao wanaishia kwenye vijiwe kwani hakuna sera kamili ya kuwasaidia vijana hao wanapomaliza shule na kuwapa upendeleo kwenye soko hilo la ajira kama wazawa/watanzania

Ukienda kwenye mataifa mengine kama ya magharibi kuna kaupendeleo hasa kwa mzawa wa nchi husika na ni vigumu kuona mtu mwingine wa taifa lingine anapata kazi kabla ya mzawa

Nchi yetu sasa inakwenda mahali kuwa kama huna mtu unayemjua hakuna ajira AJIRA NYINGI HASA SECTA BINAFSI ZIMESHIKWA NA WAGENI MBALI NA WAZAO WENYE ELIMU NZURI YA VYUO VIKUU,aidha ili upate ajira pengine lazima utoe kitu kidogo ndio jina lako lifiriwe kwenye ajira husika.

Mbali na ajira kuna mambo mengine yamekuwa mabaya zaidi hasa kwenye elimu , mzazi amejidhiki amemsomesha mtoto wake hadi chuo kikuu linakuja swala la cheti , vyuo vinasema/ chuo kinasema hakina/ havina vyeti kweli inaingia akilini hiyo mheshimiwa waziri naomba uchunguze hili

Hakuna mtu anaweza kuajiriwa bila cheti lakini ukifuatilia cheti chuoni unaambiwa njoo kesho kesho na mwajiri anataka kuona cheti chako mzazi ufanyeje ukitoa rushwa kumpa mkuu wa chuo ni makosa ukikamatwa ni haya ya mheshimiwa Mchimbi je tutafika kweli

Naomba mheshimiwa Mchimbi kama kweli umeamua kulifanyia kazi hili basi uamue kuoga kabisa kwani kuna mengi yanawakera wananchi.

Cheo chako ni dhamana kwa taifa lako na uadilifu wa sehemu uliyowekwa ni heshima kwako na kizazi chako kama mawaziri wengine waliofanya kweli
wanavyheshimika, ikiwa ni pamoja na mawaziri waliouacha ubinafsi na kulihudumia Taifa kama waziri wa uchukuzi mheshimiwa Mwakyembe, waziri wa ujenzi Mheshimiwa Mgufuli nk

Nakutakia kila la kheri katika kulinda heshima ya Raisi Kikwete na uongozi wote wa chama kwa maana hiyo nawaombea radhi hao wanafunzi walioangukiwa kwenye mtego huo ambao ni sawa na wezi wa elimu, na watakaoangukia kwenye mtego kama huo kwani makosa yako juu,

Mheshimiwa baba wa Taifa marehemu Julius K Nyerere aliwahi kusema mwizi wa elimu na mbolea siyo wezi ,hadithi hiyo ni sawa na hawa wanafunzi wanaotakuta ajira kwa nguvu zote wakihitaji na elimu ili wawahudumie watanzania na ili wasiwe kupe

Naomba uwashughulikie hawa viongozi wanaopokea zaidi kwani wana mishahara yao na marupurupu mazuri tu.

Mungu ibariki Tanzania na watu wakelcshttps://www.blogger.com/profile/10852352736159901885noreply@blogger.com