tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post6737093339481773481..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: INATISHAHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-68346975454128132362013-09-10T20:59:12.067+03:002013-09-10T20:59:12.067+03:00 Nawashangaa Ndg zangu nyie wawili mlionitangulia.... Nawashangaa Ndg zangu nyie wawili mlionitangulia. Hivi kuna ubaya gani Ndg zetu wamefanyiwa??? kuambiwa warudi kwao?? Hivi hata wewe leo uambiwe urudi kwenu kwa usalama km huu utachukizwa na nini??Au na Nyie ni wamojawapo?? Watanzania tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu, Wanyarwanda/ Warundi/ Wakenya/ Waganda nk. Nao hawana budi kujivunia uhalisia wa nchi zao. Waende wajenge nakuimalisha uchumi wa kwao, na watambue hata ipite miaka mingapi wao sio Watanzania, labda wakikamilisha utaratibu wa kuishi nchini. Anayewahurumia, awasaidie kwa huo utaratibu. WAENDEEEEEEEE. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-58071936350240663772013-09-10T18:43:44.218+03:002013-09-10T18:43:44.218+03:00Maoni mazuri dunia ni kigeugeu,unamfanyia mwenzako...Maoni mazuri dunia ni kigeugeu,unamfanyia mwenzako ukatili leo,usije uukalaumu kama utageuziwa kibao,ni vizuri jambo hili lifanyike kwa busara zaidi.tusije tukaombewa dua mbaya amani yetu ikavunjika.kisha nasi tukafanyiwa yale yale tuliyowafanyia .<br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-71997790534437870042013-09-09T23:27:45.242+03:002013-09-09T23:27:45.242+03:00Hakuna mtu aliyezaliwa na jina/alama ya ukimbizi.S...Hakuna mtu aliyezaliwa na jina/alama ya ukimbizi.Sote tusome historia na alama za nyakati unaweza ukakuta watu wanamjadili mkimbizi kama mnyama fulani hivi au mtu aliyejitakia matatizo.Ninacho amini ni kwamba Burundi amani imesharejea,DRC nako amani itarejea nao wakimbizi kwa jina mlilowabatiza watarudi kwao.Tanzania haijapewa CHETI na mungu kubakia nchi salama milele bali ni kwa neema tu,tukumbuke siku chache tu upepo mbaya umepita nchi za uarabuni kama vile Libya,Misri n.k hakuna aliyejua kama yote haya yangetokea nchi za wenzetu.WAKIMBIZI NAO NI WATU WAPEWE HESHIMA YAO.Tumepewa amani bure Tanzania,tuilinde na kuidumisha maana tukiichezea nasi tutafukuzwa kama wenzetu wanavyofukuzwa.MUNGU IBARIKI TANZANIAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-24933307730550060452013-09-09T08:31:39.343+03:002013-09-09T08:31:39.343+03:00xenophobia,hao wakimbizi waliondoka Kambi ya Nduta...xenophobia,hao wakimbizi waliondoka Kambi ya Nduta zaidi ya miaka 4 iliyopita,kambi hiyo wakawagawia wananchi mashamba walime mazao,eneo lote la former Nduta linamilikiwa na Watanzania for the last foru years,leo Shamba la Bangi limegunduliwa wanasema ni la wakimbizi,silaha wamesalimisha wanasema ni za wakimbizi,ni ajabu mkimbizi aliyeondoka miaka minne iliyopita leo arudi tena Nduta kwa ajili ya kusalimisha au kutupa silaha shambani.lets stop this xenophobia,ni aibu.Anonymousnoreply@blogger.com