tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post6619666995921019796..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: TUKIO LA PONDA LAWASHA MOTOHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-56018589175439698162013-08-18T22:55:39.219+03:002013-08-18T22:55:39.219+03:00nina marafiki wengi waislam ,na wala hatuna shida ...nina marafiki wengi waislam ,na wala hatuna shida haya mambo ya chuki tuachane nayo,kuna wasiopenda ,nchi yetu ilivyo nawiri tuwe makini sana tumezungukwa na majirani tusiowajua vizuri tupendane kwa ajili ya wajukuu na vitukuu vyetu tofauti zetu zisituletee maafa,na utawala wa sheria ufanye kazi I love Tanzania.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-12807781266048601222013-08-16T22:48:53.381+03:002013-08-16T22:48:53.381+03:00Whatever PONDA has done, he deserves to live. Stop...Whatever PONDA has done, he deserves to live. Stop blessing the killings done by Tanzanian POLICE every now and then. I'm Christian, I love PONDA, I love my Country.Mkomwa, Gabrielnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-71089421316912689602013-08-14T12:24:32.707+03:002013-08-14T12:24:32.707+03:00Kama analeta mambo ya Al Qaeda na auliwe maana hao...Kama analeta mambo ya Al Qaeda na auliwe maana hao ni wauaji. Mambo ya kupiga watu mawe hadi kufa kisa katenda kosa nani kamruhusu. Mungu gani yeye. Yeye amekuwa Mungu tangu lini. Si Nabii, Si Mtume bali ni JITU UAJILINALO TAFUTA UMAARUFU DUNIANI.<br />Bora lingekufa kuliko kuja kuua watu bure. Tena jina Ponda? Lipondwe lenyewe. Watu wengi wafe kisa mtu mmoja ni sheria ya wapi.<br /><br />Apelekwe mahakamani akatolewe hukumu yake huko inayo mstahili. Mungu si mjinga, si kiziwi, si bubu, bali yupo na anaona matendo yetu maovu na masafi. Miaka yote tumeishi vema Waislamu na Wakristo hata hao makafiri lakini Amani ilikuwepo, aje yeye Ponda ndipo auponde upendo na amani iliyodumu miaka dahali? AJIREKEBISHE HATUTAKI AL QAEDA, WALA BOKO HARAMU WALA AL SHABAB nchini kwetu. Siyo lazima mtu awe muislam au mkiristo na hiari yake mtu, Pponda atuache.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-31078341351943524112013-08-13T19:00:26.486+03:002013-08-13T19:00:26.486+03:00KAULI KUWA TANZANIA IAONGOZWA NA MAKAFIRI HAIKUBAL...KAULI KUWA TANZANIA IAONGOZWA NA MAKAFIRI HAIKUBALIKI NIMESIKITISHWA NA MUFTI SIMBA KUNYAMAZIA KAULI ILIYOTOLEWA NA PROFESA LIPUMBA NA SHEHE WA DAR ES SALAAM IWAPO SERIKALI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VIKILOGWA VIKAFANYA KAZI KISIASA YALE YANAYOTOKEA MISRI TUYASUBIRI PUNDE YATATOKEA TANZANIAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-48197835070555979232013-08-13T11:04:26.783+03:002013-08-13T11:04:26.783+03:00Ni kweli huo ni mpango haramu wa polisi, lakini wa...Ni kweli huo ni mpango haramu wa polisi, lakini wasije wakaendelea nao mpango huo kwani madhara yatakayokuja ni makubwa kuliko wanavyodhani, sera hizi za kuwamaliza waislam lazima ziishe, tunawaona akina mtikila wakihutubu machafu mangapi ya ugombanishi lakini hakuna cha maana kinachofanyika lakini ikibidi ni muslam basi atamalizwa tu, sheikh kasim bin jumaa kila mtu anajua amepewa sumu kule jela, polisi mkifanya unyama kwa ponda tutawaonyesha, wale amabao hawajapata suna tutawatahiri na kuingiza clips zao kwenye internetAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-40245314548202785852013-08-13T10:21:43.077+03:002013-08-13T10:21:43.077+03:00Makusudio ilikuwa ni kumuua na baadae kuubababaish...Makusudio ilikuwa ni kumuua na baadae kuubababaisha umma. Bahati nzuri Mungu amemwepusha na hilo hadi hapo ahadi yake itakapofika. Lakini wakumbuke makafiri wa serikali hii dhalimu ya kuwa wakimuua Ponda tutalipiza kisasi kwa askari kumi bila kupungua. Hiyo ni jihadi tunawatangazia.Anonymousnoreply@blogger.com