tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post5782834215422782753..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: CCM KUPENDEKEZA KATIBA MPYAHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-11372823559531415892013-08-12T00:22:50.133+03:002013-08-12T00:22:50.133+03:00kwani makada siyo wananchi? yaelekea hata shule ya...kwani makada siyo wananchi? yaelekea hata shule yako ndogo huelewi maana ya wananchi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-31821214938692854842013-08-12T00:20:34.274+03:002013-08-12T00:20:34.274+03:00Inaonekana hata wewe hauelewi maana ya warioba. ta...Inaonekana hata wewe hauelewi maana ya warioba. taasisi maana yake nini kwani ccm siyo taasisi. lkn kama ni taasisi inapaswa kufanya hivyo hata wewe ukiwa ndani ya taasisi yenu ya cdm pelekeni maoni labda kama ni mpiga debe wa chadema.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-42928822924045239432013-08-09T01:55:19.188+03:002013-08-09T01:55:19.188+03:00Ndugu yangu Jaji Warioba alishaonya vyama vya sias...Ndugu yangu Jaji Warioba alishaonya vyama vya siasa visiwahadae wananchi na kuwanywesha matakwa ya wanasiasa badala yake raia watoe maoni wanayoona yanalenga maslahi ya maisha yao na mazingira yao. ACHA JAZBA NA CHUKI ZA KUPANDIKIZWAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-66165606719095334602013-08-09T01:44:11.227+03:002013-08-09T01:44:11.227+03:00CCM inatapatapa!Hii nchi sio ya kwenu ni ya raia w...CCM inatapatapa!Hii nchi sio ya kwenu ni ya raia wote na wa itikadi zote.Imewalisha sumu makada katika mabaraza ya katiba kusimamia matakwa ya CCM na kuacha yale yaliopendekezwa na wananchi.<br />Waachwe wananchi waamue serikali wanayoitaka bila kuburuzwa.Kama rasimu imetoa yale yaliopendekezwa na wananchi vipi CCM itokwe mishipa kuyapinga na kuyadharau na kuwakebehi wale waliotoa maoni yao.Hii INAONYESHA CCC WAMEISHIWA SERA na wanataka kutumia nguvu na kila namna kuhakikisha ya kwao wanayoyataka ndio yawe ya wananchi wote.HATUKUBALIII!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-78438689945923925962013-08-08T20:35:04.196+03:002013-08-08T20:35:04.196+03:00KILA CHAMA KINA FURSA YA KUFANYA HIVYO WALA HAKUNA...KILA CHAMA KINA FURSA YA KUFANYA HIVYO WALA HAKUNA CHAMA KILICHOFUNGWA MDOMO AU KUWEKWA PINGU KILA CHAMA KITUMIE RASILIMALIWATU ILIYO NAYO KUTETEA YALE WANAYOONA YANA TIJA KWA KIZAZI CHA SASA NA KIJACHO KAMA HUNA MCHANGO WENYE TIJA NYAMAZA KATIBA NI YA KIZAZI CHA KESHO ,KESHO KUTWA NA MTONDO GOO TUACHE UFINYU WA AKILI NA UBINAFSI SI AJABU HIYO KATIBA ISIWE NA MANUFAA YOYOTE KWAKOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-50723813409218812362013-08-07T17:40:30.617+03:002013-08-07T17:40:30.617+03:00CCM sio baba wala mama wa Tanzania hivyo waache ku...CCM sio baba wala mama wa Tanzania hivyo waache kuyumbisha Taifa na kulefa vurugu. Kama ni vikao wakakae na uongozi wa wizara ya elimu ili kutafakari jinsi ya kuborssha elimu Tanzania. Haya maoni mnayotafuta kwa wanachama ya nini? Wapeleke kwenye uongozi wa tume ya katiba. Kwanza mnawakatisha tamaa wahusika na kupoteza muda na fedha nyingi. Kuna mambo ya muhimu nchini hayafuatiliwi. Hii sio dili jamani. Mungu ilinde TZ. Anonymousnoreply@blogger.com