tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post4898683621130457047..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: RAIS KIKWETE YUPO SAHIHI KUSAINI MSWADA WA KATIBAHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-44609319394184809072013-10-19T13:07:08.725+03:002013-10-19T13:07:08.725+03:00Usimsifu KIGWANGALA, kumbuka wabunge wa upinzani ...Usimsifu KIGWANGALA, kumbuka wabunge wa upinzani walipotoka bungeni yeye na the infamous Komba,Nkamia,Kibajaj,walianza mipasho na matusi badala ya kujadili mswaada! Kama sio unafiki mawazo haya si angetoasiku hiyo. TUSIUTUKUZE UJINGA NA UNAFIKIAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06087661790224529232noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-64444067303111374792013-10-18T13:31:53.433+03:002013-10-18T13:31:53.433+03:00Hongera kwa makala bora. Umekwenda shule wewe kwel...Hongera kwa makala bora. Umekwenda shule wewe kweli. Tunasubiri kwa hamu mambo mapya ya upinzani ndani ya mchakato huo. Pia tunategemea kuwa sio kila jambo litaondolewa na wale waliopitisha mswaada wa awali. <br /><br />wanachi wafuatilie kwa makini na kujifunza kwa uangalifu nini kitakua haki yao mpya zaidi ya ile ya mwanzo.<br /><br />Isije kulinda walioko madarakani ama kuingiza wengine madarakani. Wasiruhusu kutumiwa kujenga umaarufu wa kundi lolote bali wajaribu kuvumbua mslahi na haki mpya itakayowawezeshesha kujiimarisha kiuchumi na kijamiiAnonymousnoreply@blogger.com