tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post4814238446333311873..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: MNIGERIA ABAMBWA NA DAWA ZA KULEVYA DARHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-20208918045237870592013-09-06T12:23:15.755+03:002013-09-06T12:23:15.755+03:00Kwamba huyo Mwana mama amekuwa ni mteja wa kusafir...Kwamba huyo Mwana mama amekuwa ni mteja wa kusafiri na kupita hapo Mara kwa Mara?hilo ni jibu tosha kwamba kumbe hao maofisa wanawafahamu wote maharamia wanaoshuhulika na kadhia hii ya madawa hivyo walisubiri huyu BABA mkwe acharuke hatakutimua baadhi ya maofisa ndo waanze kuchemka? Hao maofisa wanawajua wote wahusika na njia zote wanazozitumia,mzee wangu mwakyembe em wape kiminyio zaidi wanao na wajukuu zako huenda wakapona kwa maathiriko ya unga.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05556737033726424503noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-15829939830418732572013-09-06T08:39:43.442+03:002013-09-06T08:39:43.442+03:00Tungekua na utaratibu wa kuwapa motisha maafisa wa...Tungekua na utaratibu wa kuwapa motisha maafisa wanaokamata wahalifu pale uwanjani, hasa wa madawa , pembe au madini, tudhibiti aibu hiiAnonymousnoreply@blogger.com