tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post3091091705228617533..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: CCM KUJADILI MAONI RASIMU KATIBA MPYAHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-24973917547394586042013-08-26T06:45:04.264+03:002013-08-26T06:45:04.264+03:00Swala la urai wa nchimbi sio swala la chama Fulani...Swala la urai wa nchimbi sio swala la chama Fulani cha kisiasa. Ni swala la Watanzaia wote. wapo wanao lipinga na wana-oliunga mkono regardless of their vyama vya kisiasa. Nisilo lipenda ni kwa wanasiasa wanafki kuliushisha swala hili ni chama Fulani cha kisiasa na kuwatisha wananchi. Ukitizama nchi zilizo ruhusu uraia wa nchi mbili,mfano Kenya,uganda,Burundi South Africa & etc.Nchi hizo hazijawahi kuingia kwenye matatizo ya kisiasa/kiusalama eti kwa sababu zina toa duo-citizenship. Hapa bongo watu watakao faidika na duo citizenship wengi wao ni watazania wenzetu and most of them have clean money sio hizo pesa za kifisadi/unga za wanasiasa wa hapa bongo.
Enzi za Baba Wataifa "MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE", TZ haikuitaji kuwa na duo-citizenship kwa sababu tulikuwa na wa TZ wacheche sana walio uhitaji. Tutakuwa wanafki tukisema bado hatu-huitaji wakati kuna zaidi ya wabongo 2million wanaoishi abroad.
Shukrani.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-80911993968311323332013-08-23T15:38:45.043+03:002013-08-23T15:38:45.043+03:00Bw. Nnauye, anachekesha sana. Hivi kwa nini ana hu...Bw. Nnauye, anachekesha sana. Hivi kwa nini ana hurka ya kukurupuka kiasi hicho? Analewa madaraka kama mugabe na kuona as if wengine hawajui au hawamjui! alipotaka kuanzisha CCJ akiwa na kundi lake lengo lilikuwa nini,

Sasa eti ccm mkoa kagera unawavua uanachama madiwani feki wanaokwamisha maendeleo na ghafla anatoa agizo kuwa hatambui uvuliwaji huo, hivi huyo ni kihio mwingine au vipi. Nnape bora uungane na madiwani nane mkaanzishe chama chenu kuliko kukikoroga chama chetu. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-15211906339507775822013-08-23T15:19:59.907+03:002013-08-23T15:19:59.907+03:00Sioni kama ni busara kwa nchi inayosifiwa kwenye u...Sioni kama ni busara kwa nchi inayosifiwa kwenye uso wa dunia kuwa ya kistarabu kuandikia habari kama vile ambavyo zimeandikwa "ushamba"

tujifunze kutumia tafsida kama njia ya kupunguza ukali wa maneno ilimradi ujumbe uwafikie walengwa au jamii husika. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-88493225968446011262013-08-23T11:06:42.921+03:002013-08-23T11:06:42.921+03:00CCM ni chama kikongwe na kikubwa. Hata hivyo chang...CCM ni chama kikongwe na kikubwa. Hata hivyo changamoto iliyopo ni uhamasishaji wa wanachama waliopo na kushawishi wapya. CHADEMA isidharauliwe tusije umumbuka.Anonymousnoreply@blogger.com