tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post1275407079058229247..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: GADDAFI ALIVYOUAWAHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger34125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-7000943374483995442011-11-14T15:29:15.726+03:002011-11-14T15:29:15.726+03:00hakuna marefu yasiyokua na ncha mungu ailaze roho ...hakuna marefu yasiyokua na ncha mungu ailaze roho ya marehemu gaddafi mahala pema peponi ameni utakumbukwa kwa mema yote uliyo fanya libya ila naamini mungu ndio muweza wa kila kitu wewe umetangulia nasi tunakujahafidh majannoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-43823680320498158772011-11-06T17:42:12.050+03:002011-11-06T17:42:12.050+03:00ni kweli tuwaze ya kwetu na kuyatafutia ufumbuzi, ...ni kweli tuwaze ya kwetu na kuyatafutia ufumbuzi, tanzania kuna rasili mali nyingi wala tusingekuwa na haja ya kwenda kuomba misaada kwa wenzetu, Mlima kilimanjaro, mbuga za wanyama, migodo ya kuchimba madini, mashamba ya kulimo, wasomi ni wengi , ukiangalia kodi ni za juu, mijihela yooooooooooooote hiyo hatujui huwa zinafanyaga nini, jamani tujifikirie, na pia tusaidiane mawazo, tusiishie kuyaongelea ya walibya. ya walibya waachieni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-18437280648717638522011-11-06T17:33:11.143+03:002011-11-06T17:33:11.143+03:00jamani tumechoka kutawaliwa na ccm, hicho chama ki...jamani tumechoka kutawaliwa na ccm, hicho chama kilikuwa kizuri enzi za BABA YETU NYERERE: sasa hakitufai tena, watanzania tumeshakikinai chama hicho.<br />matatizo ya umeme, tatizo la mabarabara hasa za vijijini, watu wa libya achaneni nao jamani tuwaze ya kwetu. libya ahijawahi kuwa na tatizo la umeme kama tanzania, kinatuuma sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-67934700297447676132011-11-06T17:26:09.643+03:002011-11-06T17:26:09.643+03:00jamani muacheni baba yetu nyerere apumzike, kwa a...jamani muacheni baba yetu nyerere apumzike, kwa amani. hakuna mwingine tena kama nyenyere,ila Baba wa mbinguni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-62241320048007371412011-11-05T14:22:15.784+03:002011-11-05T14:22:15.784+03:00kwa watu wasio na akili huwa wanakimbilia kuhoji m...kwa watu wasio na akili huwa wanakimbilia kuhoji mabaya ya mtu yale mazuri wanayapuuza.gaddafi kafanya mambo mangapi mazuri Afrika mpaka asisifiwe.ok yeye mwadai kaua wengi na hao NATO wameua wachache si ndio.kuweni waelewa na msiwe wakurupukaji .ok fine kamsaidia uganda kuipiga TZ kwani uingereza si ilimsaidia Tz kuipiga Uganda.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-70306364968662881232011-10-29T17:49:25.852+03:002011-10-29T17:49:25.852+03:00ndugu wa tz ilo nalo neno couz yasijekutukutaa kam...ndugu wa tz ilo nalo neno couz yasijekutukutaa kama yaliyotokea libya kwa kuogopa kuwachana live hawa ccm wanaotaka kufia ikulu next time watoke tawaweke chadema.pia tusisahau kumuombea zittokabwe apone haraka na kurejea home salamaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-47338390678764406292011-10-28T17:11:23.534+03:002011-10-28T17:11:23.534+03:00Hata Tanzania viongozi na chama chao wanaong'a...Hata Tanzania viongozi na chama chao wanaong'ang'ania uongozi kiama hakipo mbali juu yao,maana Polisi na wafuasi wa ccm wakubwa watanguka muda si mwingi tumechoka na ccm,tuwape CHADEMA waongoze.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-2811803234069713622011-10-28T08:31:43.933+03:002011-10-28T08:31:43.933+03:00huyo anayemsema nyerere ana harufu ya al-shabab.huyo anayemsema nyerere ana harufu ya al-shabab.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-85690465751428766542011-10-25T09:27:43.818+03:002011-10-25T09:27:43.818+03:00Idiot!Idiot!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-54620627359844150152011-10-25T04:07:21.376+03:002011-10-25T04:07:21.376+03:00KUNA JITU ZEZETA KWELI HATUZUNGUMZII NYERERE HAPA ...KUNA JITU ZEZETA KWELI HATUZUNGUMZII NYERERE HAPA PUMBUFU.MEMBE AMESOMA OR MAEMBE AMESOMA SO STUPID COMMENT EVER HAPPEN.KAMA KASOMEA DEGREE YA KUOKOTA MAEMBE LAZIMA AWE CHIZI.SO FAR WHO CARE ABOUT HIS EDUCATION ?AND HOW MUCH IS HELPING OUR SOCIETY ? KUMSIFIA GADDAFI NA AMINI NI UJUHA .HATUTAKI KUJUA CHANZO CHA AMINI TUNACHOJUA NYERERE KATUSAVE LIFE HUO UJINGA MWINGINE KAA NAO MWENYEWE.TATIZO MNASOMEA PRIMARY MBOZI,SECONDAR YOTE MBOZI CHUO TUMAINI MBEYA NA WEWE NA HUYO MAEMBE WAKO MNAJIDAI MMESOMA HIVYO.TEMBEA DUNIAN UONE WATU TUMETEMBEA DOGO NI MWENDO WAKUBADILSHA NDEGE SOUTH TO NORTH WEST TO EAST EVERY TIME TUNAIJUA DUNIA WEE KAA SUBIRIA UMEME WA MGAO HUO WENZIO TWALA LIFE DUNIANI.PUMBUFU USIMSEME NYERERE TENA .WE LOVE HIM NO MATTER WHAT PEOPLE SAY.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-61395704088146989022011-10-24T18:17:04.234+03:002011-10-24T18:17:04.234+03:00Jamani Membe ni mwanasiasa kama wengine, na kawaid...Jamani Membe ni mwanasiasa kama wengine, na kawaida yao wengi si wakweli. Halafu Membe ni Ex-shushushu ambae amekulia kwenye system ya unafiki na uongo. Kwa hiyo nadhani ni vyema tumuelewe halafu tumdharau na mizaha yake.<br />Mimi binafsi nimekuwa nafuatilia sana malumbano ya Membe kwenye luninga na nimekuja ku-establish kuwa ni mtu mjanja mjanja asiyekuwa na substance kichwani. I think he happens to be a self opiniated person with a lowest level of thinking capacity. Most of his arguments are based on a lowest denominator point! Nashangaa hata huyo JK aliyemteua kwenye huo uwaziri? I think he is also problematic. Ndio maana kuna dalili za wazi kuwa nchi imemshinda kutawala!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-55825115060685553232011-10-24T17:37:21.446+03:002011-10-24T17:37:21.446+03:00Dah tumshkuru Mungu but alikua gaidi sana so God d...Dah tumshkuru Mungu but alikua gaidi sana so God decided to suspend him may his soul be fairly judgedAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-20506722785597188902011-10-24T16:33:49.168+03:002011-10-24T16:33:49.168+03:00hivi wewe ngd ni mtanzania au mkimbizi sijui unaon...hivi wewe ngd ni mtanzania au mkimbizi sijui unaongea nini leo hii unadiriki kusema baba wa taifa nyerere ni mjinga sikuelewi hata kidogo jamani leo hii nyerere anaitwa mjinga kweli hii comenti lazima nimrushie makongoro na familia yake aibu wewe mtanzania sijui unatoka wapi nadhani wewe ni alkaidas wa bongo yetu haya bwana endeleaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-3631561883875329102011-10-24T15:35:45.449+03:002011-10-24T15:35:45.449+03:00Waziri Membe wala hajakosea hata kidogo. Ningepend...Waziri Membe wala hajakosea hata kidogo. Ningependa mjiulize ninyi mnaomkashifu Membe. Kati ya Wazir Membe na ninyi na amesoma zaidi?, Pia nani amekaa serikalini zaidi na nani anayejua siri za serikali zaidi.Msiwe mnaropoka tuuu alafu ukija kufuatilia kumbe hata huyo Membe hamumjui. Kuhusu Gadafi kuleta askari wake kwa Amin ili watuangamize ilikua ni sawa tu kutokana na ujinga wa baba yenu wa taifa. Mnavyojua ninyi basi kwamba vita ya TZ na Uganda ni suala la mipaka!! Si hivyo basi niwachane live leo. "Kuna mambo baba yenu wa taifa aliyafanya kwa baadhi ya watu humu TZ, suala ambalo Gadafi na Amini(Mtu na shemeji yake) ambao ni wapenda amani na haki liliwachukiza ndio maana wakaamua kufanya hivyo. Mmwzugwa na mambo ya mpaka ndo maana mnamwona Gadafi mbaya. Mwenzenu Mh.Membe anayajua na anapenda haki ndo maana yupo upande wa Gadafi. Someni historia ya TZ kiundani ndugu zangu mtaelewa tu,msipelekwepelekwe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-33045003212705174162011-10-24T15:01:56.670+03:002011-10-24T15:01:56.670+03:00tena usemayo ngd mtanzania ni kweli tena huyo mem...tena usemayo ngd mtanzania ni kweli tena huyo membe aije akajitokeza hadharani ktegemea uraisi kwa kauli zake hizi tumemaind hana sifa hata ya kuwa diplomasia anaongea pumba pumba kwanza sisi watanzania tusipowatambua hao waasi wana shida gani na sisi na wewe membe ulikuwa wapi kwenda kumbebembeleza gadafi aje aishi kwako usiwe mnafiki bwana tunakushangaa usomi wako mwisho hapo jamani aibu watanzania acheni unafiki jamani haswa wewe membeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-12606775265059446682011-10-24T14:55:04.871+03:002011-10-24T14:55:04.871+03:00ni kweli watanzania wanafiki tena mno u njua bwana...ni kweli watanzania wanafiki tena mno u njua bwana mzee gadafi aliwasidia pesa ya uchaguzi ndio mana waziri mzima membe anaongea hadharani kumtetea gadafi kweli tumeishiwa sera ya kwetu yanatushinda unaangalia ya mwenzio na bado viongozi wa afrika mjifunnze sana kwanza waliomua ni waarabui wenzie nyie kinawawasha nini je mnaridhika na vitendo vinavyofanyika srya watu eleweni dunia imebadilika hata nyie viongozi wetu msipokuwa wema mnawatakia watoto wenu mtakaowaacha duniani watateseka sana na dhambi zenu watanzania acheni unafiki kabisa tena mkubwa ndio huyo membe anataka uraisi 20015 hatapata tumeshamwona hana upeo wa mbali ni kibaraka huyo gadafi wala hakuwa mzalendo mngejua vitendo vibaya alivyofanya sijui nadhani pia kitu kingine habari nyingi watanzania zinawapita hamwoni sababu ya tatizo la umeme hivyo kama hujui ulimwengu unakwendaje kaaa kimya n atutaendelea kuteseka wenzio hao viongozi waliletewa masanduku ya pesa ya uchaguzi bwana nyie vipi watanzania kumbuka wakati wa vita vya amini alileta majeshi yake kwetu labda yangeuwa familia yako yote pamoja na mkeo na watoto sidhani kama leo membe angeongea hizo pumba mdomoni kwake hafai huyo membe tena shetani huyo inawezekana ni alkaida wa tanzaniaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-42027781845400583022011-10-24T10:02:08.756+03:002011-10-24T10:02:08.756+03:00WATANZANIA NI WATU WA KUJIPENDEKEZA SANA TUNAJIFAN...WATANZANIA NI WATU WA KUJIPENDEKEZA SANA TUNAJIFANYA KUMLILIA GADDAFI MNAFAHAMU MADHAMBI YAKE KWANI WALIBYA NI WAJINGA KUMKATAA KIONGOZI ANAYE WALETEA NEEMA,ACHENI UNAFIKI NHATA MSIPO WATAMBUA WAASI HAMNA LA KUWASAIDIA WALIBYAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-86982628923872521082011-10-24T07:33:47.009+03:002011-10-24T07:33:47.009+03:00watanzania tumejaa unafiki sijui tunapenda nini! n...watanzania tumejaa unafiki sijui tunapenda nini! na tunachukia nini! si ndio huyo aliungana na amin kutuua?atakaaje madarakani miaka 42 yeye nani?kaua wangapi ? sikitikeni maisha ya bongo magumu uchumi unazidi kushuku.ni jana tu ndugu zetu Dom wanatupiwa na risasi.CCm imewabana mbavu.huyo chizi gaddafi hakuwa mzalendo wala nini?hiyo afrika aaliyotaka iungane angeongaza nani?dictator.wote tutakufa ndio but he deserved that i think took to long to finish him.we believe in freedom of choice,speech,and safety .tuache unafiki people.tuwaache wa libya wachugue mtu wanaye mtaka but not one stupid monkey controlling every one for 42yrsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-57776125993960986102011-10-24T01:14:10.249+03:002011-10-24T01:14:10.249+03:00Gadafi ameua wengi bila huruma wala kujali haki. H...Gadafi ameua wengi bila huruma wala kujali haki. Hivyo kumwonea huruma ni upuuzi mtupuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-54492283433548413372011-10-23T22:05:02.809+03:002011-10-23T22:05:02.809+03:00kila binadamu ni mkosaji si vema sana kumhukumu Ga...kila binadamu ni mkosaji si vema sana kumhukumu Gadafi! alipaswa kusikilizwa jamani,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-71643999429313267222011-10-23T09:45:32.094+03:002011-10-23T09:45:32.094+03:00Sikupenda kuuawa kwake. Maadamu alikamatwa akiwa h...Sikupenda kuuawa kwake. Maadamu alikamatwa akiwa hai sikuona sababu kwa nini hakusimamishwa kizimbani kujibu tuhuma dhidi yake kama wanavyomtuhumu. Ingeijengea serikali ya mpito sifa kwa kujali utawala wa sheria.Kutokana na kitendo cha kumuua inaonesha dhahiri hawakuwa na cha kumshitaki nacho!Maana kama kiu yao ilikuwa ni kumuua wangemtia hatiani mahakamani kisha wamuue kama ilivyokuwa kwa Saddam HuseinAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-48098984502325108402011-10-23T07:30:11.212+03:002011-10-23T07:30:11.212+03:00HUWA TUNAJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA.HIVYO VIONGOZI...HUWA TUNAJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA.HIVYO VIONGOZI WAJIANGALIE KWA MAKIN.HEBU JIULIZE LICHA YA UBAYA NI MANGAPI GADAFI KAIFANYIA LIBYA?LAKINI ONA HATIMA YAKE.JIULIZE SASA KWA TZ MIAKA 50 TANGU UHURU MAJI HAKUNA UMEME HAKUNA,JE?TUTAFIKA?RASILIMALI NYINGI LAKINI BADO MASIKIN.VIONGOZI KUTUKUZA WAZUNGU,WATAALAM NA WASOMI WENGI LAKINI HAWATHAMINIWI.JAPO ITACHUKUA MUDA LAKIN IPO SIKU ITABAKI HISTORIA YA CCM.MUNGU AMLAZE PEMA AMENAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-68579850551459080012011-10-22T22:43:55.172+03:002011-10-22T22:43:55.172+03:00TUNAMSIKITIKIA GADHAF KWA KIFO CHAKE LAKINI SIO KU...TUNAMSIKITIKIA GADHAF KWA KIFO CHAKE LAKINI SIO KUTOLEWA MADARAKANI KWANI KAMA NI KIONGOZI ALIYEFAA ASINGEWEZA KUNG'ANG'ANIA MADARAKA HADI WAKATI WA MAPINDUZI YA KIJESHI CHINI YA NTC ANAAMURU WANAWAKE NA KINA DADA KUBAKWA NA WATU WENGINE HASA WATOTO WADOGO KUWEKWA JUU YA MAGARI YA MAJESHI YAKE WAWE KAMA NGAO NA KAMA NI KUSHAMBULIWA WAUWAWE WAO HUO SI UBINADAMU, NDIO SABABU KIFO CHAKE KUNAWAFURAHISHA WATU WENGI. ILA TU, TUSIKITIKE KATUTOKA BINADAMU MWENZETU NA PIA NI WAJIBU WA MWENYEZI MUNGU KUMUITA KILA MMOJA WETU ANAPOMUHITAJI. KAZI YAKE HAINA MAKONA JAPO NI KWA MKONO WA MWANADAMU. MUAMAR GADHAFF APUMZIKE KWA AMANI ATAKOPANGIWA NA MWENYEZI MUNGU AMINA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-22031853272472383152011-10-22T13:42:40.184+03:002011-10-22T13:42:40.184+03:00TUNAPOSEMA SI VIZURI KUMUHUKUMU MTU INANISHANGAZA ...TUNAPOSEMA SI VIZURI KUMUHUKUMU MTU INANISHANGAZA SANA KWANI SS WATANZANIA TUNAWAHUKUMU NDUGU ZETU VIJANA WTU KWA KUWACHOMA MOTO HIVI HII SIO HUKUMU AU KWA HAPA KWETU JAMBO HILI LIMEALALISHWA,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-71591015425139363312011-10-22T10:39:00.295+03:002011-10-22T10:39:00.295+03:00NTC HAWAKUWA NA HAKI YA KUMUUA GADHAFI
HUKUMU WANG...NTC HAWAKUWA NA HAKI YA KUMUUA GADHAFI<br />HUKUMU WANGEIACHA MIKONONI MWA MAHAKAMA ZILIZO HURU.<br />PIA NI FUNZO KWA 'MAKANJANJA' WA UTAWALA KATIKA AFRIKA YETU HII.HATA HAPO TANZANIA KWETU WATAWALA NDANI YA CCM DHAHIRI WAMEUGEUZA UONGOZI WA NCHI KUWA WA FAMILIA ZAO KWA NAMNA WANAVYOJITAHIDI KUWARITHISHA WATOTO WAO NAFASI ZA UONGOZI CHAMANI NA SERIKALINI NA MIFANO NI DHAHIRIAnonymousnoreply@blogger.com