tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post1197427004331110246..comments2024-03-02T21:58:22.701+03:00Comments on MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Ukatili wa aina hii usipewe nafasiHallhttp://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-51566886744994229862013-03-04T14:04:22.805+03:002013-03-04T14:04:22.805+03:00Serikali yetu ni pambo kama mapambo mengine ya nda...Serikali yetu ni pambo kama mapambo mengine ya ndani. Vyombo vya dola bora vingeitwa vyombo vya shilingi maana vinazidi kupoteza imani kwa wanainchi kila uchao. Vipo kama geresha tu wala havitimizi majukumu yake. Vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadam zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku hii inatupa picha dhahiri kuwa kila mwananchi ajilinde kwa nafsi yake wala asitegemee dola kamwe. Yangu ni hayo tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1185314680614945258.post-54430291019051532462013-03-03T13:49:41.255+03:002013-03-03T13:49:41.255+03:00Polisi wa Maeneo hayo hawafai kabisa. Polisi kwa s...Polisi wa Maeneo hayo hawafai kabisa. Polisi kwa sasa ni 'kimeo' Tanzania. Wanazembea sana na kujinufaisha na kesi za 'mapesa' mengi na kesi za udhalili wa mabinti. UPO USHAHIDIAnonymousnoreply@blogger.com