24 July 2013

VIZAZI NA VIFO

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angela Kairuki( wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mfumo mpya wa Usajili wa Vizazi na Vifo kupitia  mpango wa usajili wa watoto wenye umri wa chini ya miaka (5) uliofanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya jana. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vizazi na Vifo(RITA),Bw. Philip Saliboko.

No comments:

Post a Comment