17 July 2013

UJENZI KIVUKO


Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari
wakati alipotembelea ujenzi wa Kivuko cha Msanga Mkuu kinachojengwa eneo la Bandari Kurasini Dar
es Salaam juzi, kushoto ni Mwakilishi wa Kampuni ya Scheepsbouw Noord Nederland B.V Bw. Mohamed
Hashim.

No comments:

Post a Comment