18 July 2013

UFISADI

Ofisa mtendaji wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Bw. Makumba Kimweri, aliyevaa miwani akiingia katika Mahakam ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana,alipofikishwa  na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) pamoja na Msanifu Majengo wa wakala huyo, Bw. Richard Malliyaga (kushoto),kusomewa mashtaka yanayowakabili ya matumizi mabaya ya madaraka,ubadhirifu na kuisababishia hasara Serikali.

No comments:

Post a Comment