18 July 2013

TUZO


Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia Tuzo ya Mtu aliyetoa Mchango katika Sekta ya Reli nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Chuo Cha Usafirishaji nchini (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa (kushoto), Tuzo hiyo
imetolewa Dar es Salaam jana na Kampuni ya Mwandi Tanzania

No comments:

Post a Comment