23 July 2013

TBS YAPANIA KUTOWAONEA HAYA WAZALISHAJI BIDHAA HAFIFU



Jereme Samuel

UNA POZU NG UMZI Asualalauborawabidhaan chini, unalizung umziaSh irikalaViwangoTanzan ia(TBS ). TBSndiloshirik apeke enchini lenye dhama na yaku wekav iwangovyakit aifa nakudhibiti uborawabidh aazinazo zalishwanchini na zilezina zoagizwan jeyanchi, mal engoyakiwa n iku we zeshabiashara, kukuzau ch umiwanchi na kuwalinda walaj inamaz ing ira.Shir ikahilil ilianz ish wakwa Sheriaya B unge ,SheriayaViw angoNa.3yamwak a 1 975, iliy ofan yi wa mare keb ishonaSheriaNa.1yamwaka1 977.

Sheri ahiyoilifutwa na nafasi yake kuch uku liwana Sher iayaViw angoNa.2yamwak a2 009am ba yoililipa Shirikauw ezomkubw azaidi wa kutekele zamaju kumuya ke.Shi rikalinamajuk umumengi kamayaliv yoain ishwakatika SheriayaViw angoNa. 2yamw aka200 9, lak inimaju kumu ya kemak uunikuwekaviwangovya kitaifav yabidhaa, huduma namifumo ya usimamizi waubo rakatika sekta zote na kuteke lezavi wangohivyokat ikasektazavi wanda, b iashara nahud uma, kw akutumiaskimumbalimbaliza ud hibiti ubora.
Maj uku mumengine n i upimajiwa b idhaakwalengolakuhakik ishaubora wak e, uge zi waza na zakupi mia v iwandani nakut oamafu nzokwawazalishaji nawafan yakazikat ikataasisi na viw andakuhusia nauza lishajiwabidhaabor a,u zalishaji salama na usimam iziwa ubora.Kaimu Mkurugenzi Mkuuwa Shirikala ViwangoTanza niaBw.Jo sephMasi kitikoana semakatikakutek elezamajuk umuyake ya udh ibiti ubora, Shiri kalinazoskimumbalimbali zaud hibiti ubora.
Anasema kwa bidhaa za ndani, skimu ku uinay otu mikani ileya alamayau borayaTBS , amba pobidhaahu pimwanaz ikit hibitishwa kukidh imatak wa yakiwangohu sikamza lishaji hu pewaleseni yakutu miaalamayaubora katikabidhaahusika .Anad okezakwamba taasisi yake imepigamaru fukuuingi zajiwa nguoza ndan i zamitu mbakam avile, vesti, soksinang uo zaku lalia.
Anaong ez akuw akat i k a kutekelez a hilo wame om baushirikianowa halmashaurizamiji hapa nchini."Tumeomba ushirikiano wa halmashau rizamijih apanch ini ili kuwezaku wa dhibi tiwau zajiwanguohizo,"a nasema.Bi dhaa hup imwa n c h i zinakotoka

K uh usiana nabidhaa zinaz oagizwanjeyanchi, Bw. Masikitikoanasema baadhiyabidh aahizohupimwanchini b aad a yaku ingizw a, wakati nyingi nehup imwa na kuthibiti shwa uboraka tikanchiz inakotoka.Anasemashiri kalakelinamawakala a mbaohu fanya kazi duniani koteilikuhakiki shakw amba bidhaazinat hib itishwaubo rakablahazijasafiris hwa kuja nch ini.
"Tunaomawakalamakini amba ohu fanyaka ziduniani kote,le ngolikiwa niku hakikishakwambahakunabi dhaaa mbazohazijath ibitishw aubor awake zin azoingizw anch ini,î anas ema nakuongezaku wamawakalahaowanafanyakazich ini yampangoujulikanao kam aPre-s hipment Verificat ionofConformity to Standards(PV oC) .Aidha, anabain isha, shirikahuendeleakufanyaukaguzi katika masokonaku chuku asampuliili kujihaki kish iakuwak weli bidh aahizo zinau bora unaotakiwa .

Kaimu MkurugenziMkuu an asemaSh irikalaViwangolaTanza nialilian zis hwa kwa ma dhumuniya kuwezes habiasharanakuhakikis hakwambaWa tanzania wana shirikika tikakuk uzauchumikwakuzalis habid haazina zokidhi matakwa yaubora.Anasema bidhaa zinazokidhi matakwayaviw angoh uwe za kushindan a viz urikweny esokonawakati hu oh uokumhaki kishiamlaji usalamana pia hutunzamazin gira.An afafan uakuwaili ku hakiki shayotehayoyan afany ika,sheriana kanuni mbalimb alizimetungwa, lengolikiwani kuwabanawazal ishaji auwafanyabiashara wasiowaaminif u.

Bw.Ma sik itikoana semaTBSimekuwanamika katimbali mbali yaku wabanawaf any abiasharawa siowaamin ifu,namiongoni mwami kak ati hiyoni k wa ku tu mia Sher iayaViwan goNa.2yamw aka2 00 9, ambayoanasemainamen oyakuwabana w azalishaji nawa fany abiasharawan aovun jashe riakwamakusudi kwalengola kupatafa idakubwa,ikilinganishwa na sher iailiy otangul ia.

Viwanda vyafungwa.

"Kwa sasahat unautani na wavunjas heria, balitunaw achukuliahatuam ba limbalikwakuzingatiaSheria yaViwang o," a nabainisha Bw.M as ikitikonakuongezakuwahiisi nguvu ya soda kwani Shirikalimed ha miriakuwa banawavunja sheriailikuhak ikishakuwa linapu nguzakwakia sikikubwa tatizola bidha a hafi fusok oni.

Ak itoamfa nowabaadhi yaviwanda vyanon dovi liv yosimam ishwakuza lishabid ha ahiyo kwamudahivikarib uninak ishakuruh usiwa ku endelean auzalish aji baadayakutimiz am atakwayaubora, KaimuMkur ugenziMku uanasemashirika lakelimejiz atitik uwabana wazalishajiwazembe na k wambaukaguzi ut afanyikakwabidhaa zote."Ukaguzi na ufungaji wa viwanda auma dukahaufanyik ikw enyenon dotu, bal i hufanyikakw abidhaa zote.Kwam fanohi vik aribuni TBSilivifungi abaad hiya viwanda na kuvifung ua baaday akutimizamashartinakwamb ao peresheni hiyoniendelevu .

Tu tah akikishakwamba tunafanya ukaguzi wak ush tukiza k atikakila miezi miwil inasi kamautara tibuulio kuwa ukitumikasikuz anyuma wamaran ne kwa mw aka, "an asemaBw.Ma sikitiko, akir ejeaukaguzi ambaohufanyiwawaz alishajiwa liopewaleseni za kutumi aalama yaTBS.Tu tafanyahivyom pakahapotutak apojiridhi shakwa s asa uzali shajiunafuatama takwayaubora wakatiw ote.

Anasema hiv i k a r i b u n i TBSilitoamwezi mmoja k wa waza lishaji wasiona alamayauborayaT BSkuhaki kish akwam ba wanaa nz amc hakatowabi dhaazaokuthib itishw auborakisha kuipata alamahiyoya ubora .

Anabainis haku wabaada yamudahuo kuishaTB Sita fanyauk aguzi nawale wote wa takaobainikakuk iukah atuak alizitachukuliwa kwamujibuwaSheria.

Bw . Masi kiti ko, anatoa mwito kwaw ananchiw oteku saidiakatik amapamban odhid i yabidhaa hafifukwakut onun uabidhaa zisizoth ibitish wa,aidhaana waombawananchikutoataa rifakwaTBSwanapoon a bidh aazin azali shwa aukuu zwa bilaku wana ne mboyaub orakwakupi gasim uy abure ya shirikaambayoni 080011 0827. Namba hii hupa tikana kw aku pitiamitandao ya Vodacom, TTCL na Sasatel.

Ili ku hakikish akwambahakuna bidhaahafifuz inazopen yezwanchini,TBSimekuw anamazungumzo n a wenzaoShi rika laViwangola Zan zibar ambapoKa imu Mkur ugenziMkuuanasema mazungumzo yaoyan alengakuhakikishakwam babidhaa hafifuha ziingi iZ anzibarn a kisha Tanza niaBaran akwamba maeneoyaushiri kianoya meai nishw a. An ayatajamaen eohayokuwaniuanda aji waviwango, upimaji na ugezinaudh ibiti ubora.

"Udhib itiw abid haaZa nzibarni muhimusan akw asaba buZanzib arnisehemuya nchi yetu, hivyowaowa sipokuw ai marahukututayu mba pia," a nasem a Bw . Masikitikonakutoawitokwawazalishaji na wa agizajiwabidha a kufuata sh erianakuacha ma zoeakwani kwasasa TB Siko makini kusimamia sheria zanc hi.

WadauWengi wahusish wakudhibiti uboralakini piaili kuhakikisha kwamb a wananchi hawatumiib idhaahafifu,TBSinafanyama zung umzonahalmashauri za miji ilikuhakik isha kwambas he riandogondogozinatungw ailikud hibiti matumizi yabidhaaz isizonaubora.

K aimu Mku ru genzi Mkuu anabainish a kwamba kwakuwa nchi yetuni kubwau shir ikianowawadaumb alimbali kamavilehalm ashaur i zamiji ni muhimu k atika kuhakikis hakwamba v iwandavyoteambavyovi po katikahalmas hauri zao zinasajiliwa na kupata nembo yaubo ra, nakuhakikishakwabid haazinazoin gizwa nchini ku pitia maeneoyaozinadhi bitiwa.

Ushiri kish waji wawadauwengine kamaS hirikish olaWeny e Viwandanchini (CTI) naK itu o chaUwekezaji Tanza nia(TIC)ni muhi mu pia, nahapaBw . Mas ikitikoanasema: "CTIwana pasw akuwah imizawanac hamawaoku zalishabidhaa zenyeu bor awakati TICwanapaswakuwa nas heriaina yowabana wawek ezajiwazalishe bidhaaz enyeuboraunao kubalikakatika nchi yetu,"anafa fanua.

Kuh usuiwapo Sheria mpya yaViwango ina meno,KaimuMk urugenzi Mkuuanasema , "Sheria mpyaimel ipaShirika mamlakaya kuwab anawa le wotewanaokiu kataratibu kuhusiana na masuala ya ubora."

An abain ishakuwa m io ngoni mwawalewana obanwanasheriahiyo n i w ale w an aotumiavibayaalamayauborayaTBS, ma thalani kw akuiwekakati kabidha aisiyo naub ora. anas emawe nginea mbaosheriahiyo itawa bananiwalewanaoa gizab idhaahafifu na wale ambaoha wazingatiikanuni na taratibu zaudhibiti ubo ra.

Bw.M as ikitikoa nab ainishakuwakablayasheria yasasa,s heria iliyotang uliailikuwadhaifukiasi chakuto weza ku wabana watuwanamna hiyo nahivyowafan yab iasharaw asiowaa minifu waliutu miaudhaifu huo kwa maslahiyao.

"Kablayasheriahiimpya kupitishwa waf anyabias hara ambaosi wa aminifuwali kuwa wan atozwafainiya sh.1, 500,sasah ebuifikirie fai ni hiy okwakiwang ocham aisha yasasa,na dhan i ndiyom aan asherianakan unizetu zi likuwa zinakiukwa san a,"ana sema.

Ana bainish ak uwasheriampya inatoaadhabuy akwen da jela miakamiwilia uk uli pafaini ya k ati yash. milioni 50 nami lioni100kwa m tuanayekutwa na hatiakati kamako sa ya ukiukajiw ak anun i natar atibuzauborawa bidhaa.

Nay e Mwanasheria wa TBS, Bw. Bapti steB itahoanasisi tizakuwa hatuaka liitachu kuliwakwa waleamb aowat ab ainikaku vunja sheria kwalen golakujipa tiafaidazaidi.

"Kamaana vyoele zaKaimuMkuruge nziMkuuni kweli tutakuw awakalikwa wanao vunjasheriana ni vye mawadauwote wakalifahamu hilo," anasisitiza Bitaho.

Anaf afan uakuwakifungu cha 27chaShe ria ya ViwangoNa.2yamwaka20 09ki nasema atak ay evu nja she riahi yoatalipafai niyash .mi lioni5 0hadi100auki fun goc hamiak am iwili jela wakati kif unguch a 30kin aelezea adhabuyamako samado gomadogoambayo makosa hayo adhabu yake ni kati y a shilingi milioni moja hadi milioni20.

Kuhu siananakwanini s heriayamwaka2009 in aonekanakuan za kutumikasasa,Kaimu Mkurugenzi Mkuu ana sema:

"Tu likuwatu najipanga, ilibidi tujipemuda w akurekebishabaadhiyakanuni zetu ziendane na sheria hiy o.

Aidha, ilit upasatuonge ze rasilimaliwatuili kuk abiliananachang amotombalimb ali zasheriahiyompya, na sasatuko tayari kabis akuitekeleza ."

Ilik uhakikishakwamba sheria hiyoinafan yakazi vizuri,Bw. Masi kitikoan asema mika katimbalimbali in afan ywa k walen gola kutoa elimukwaummapam ojana wadaumuhimukatika ut ekele zaji.

Mat halani, a nasemahivisasa taasis i yakeiko kat ikamkaka ti wa kutoamafun zojuuya sheriahiyokwaJesh ilaP olis iili kuhakikisha kwa mbaje sh ihilol inatoa mchangomkubw aka tika kuchukua hatua za sheriakw awahusika.

" Ikumbu kwek wamb amuuz aji wabidhaahafif uhanato fautinamhali fumwingine anayev unja sheriaza nchi kwanim adharayakenimakubwa kwaw anan chi nakw auc humi wanchi .Hilini kos ala jinai,"anasemaMwanasheria, Bw. Bitaho .

Wafanyabiashara kubanwa

Ili ku kabilianan amson gamanowabidhaabandarini ,ta asisimbalimb ali zaserikal i ik iwamoTB Szime weka uta ratibuwakuifany ami zigoisikaebandarin i kwa mud amrefu.

Mojayanjiaa mbayo TBS inaitu miani kwaku msainishamtejafomu inayoitw a'conditional release' ambayoina mwezeshamfanyabiashara ku toabidhaa kwa mashart iya kuwa hata ziuzampaka ukaguziw aTBSu weumeka milikanak wa mbau kaguzi hukamilikapal etubidha ahusikaikishapimwa maabara na TBS kuthibitisha ubora wake.

K aimuMkuruge nzi Mk uuwaTBS, anasemapamojana niahiyonjemayaserikalikwa waf anya biasha ra, baadhi yaowameku wawakitumiavibayafursa hiyo nawa mekuwa w akitoko meanakuiachaT BSi kiha hakuwatafuta na kwamba hadi sasaku na matukiosabaam bayoy amesha ripotiwa kwen yevyombo vya dolakuhusianana wafanyabiashara wa aina hiyo.

"Ni kutokana na tabia hiyo, ndiyo maana tumeamua sasa kutafuta taratibu za kuwabana wahusika ikiwamo kuleta taarifa zao mbalimbali ikiwamo barua ya Serikali ya Mtaa anakotoka ili iwe rahisi kwetu kuwapata,lakini pia tunaangalia utaratibu wa kuzitumia kampuni nyingine katika kuwafuatilia wafanyabiashara wa namna hii, " anasem a.

BeatusJohn,Mtaalam wa Uc huminamkaziwa JijilaD ar esSalaa m, anase maShe ria yaViwango itasaidia k upambanana wajanjawachachewanaoing izabidhaahafif unchin i.

"Nad hanis heriahii ni mwafaka kwam azingiraya sasan a itasaid iasana kuwaban awale ambaosi waaminifu," anasem a.

Anatoawitok wa T B S kuhaki kish akwambavy ombovinginevyau dhibiti kam aPolisi, Uhami ajina vin ginevyo vinap ataelimuju uyasheriahiyoili viwezekuli said ia Shirikakatikakukabil iananawafanyabi ashara wasio waaminifu.

Lakini pia anasema wadau mbalimbali wakiwamo wazalishaji na waagizaji wanapaswa kupewa elimu juu ya sheria hiyo ili waweze kuwa na uhakika kwamba iwapo utatokea uvunjifu wa sheria na kanuni basi adhabu stahiki zitolewe.

A n a i p o n g e z a s e r i k a l i kwakuipitisha sheria hiyo kwani anasema imekuja wakati mwafaka katika kipindi hiki cha uchumi wa soko huria.

No comments:

Post a Comment