23 July 2013

TBL YAJIANDAA KUWANIA TUZO NYINGINE Na David Magesa

KAMPUNI yaBia Tanzania (TBL) ina jian daakuchuanananchinyinginez aAfrikaMa shari ki baada y ak uibuka mshin diwatuzoyaRasilim aliya Taifaya Uf anisi na Usafikat ikaUzalishaji(RECP) ndani ya Bonde la Ziwa Vi ctoria.

Akiz ungum zanawaand ishi wa habaribaadaya ku pokeatuzoyakifahari ki taifa, Menej aKiwanda Mwanza,RichmondR aymondalisemak wambaina onesha kwambajuhudi z atimu ya kekatikam atumizi borayar asi limali naulinziwa mazi ngir aniisharaya mwele keosahihi katika kulind amazingira .

Alisemakuwak utokanana ukuaji wakiwanda h icho, iliilazi mukampuni kuwekamikakatiya utumiaji bora wa rasilimali na ufanisi wa kuhakikisha kwamba hawatokomezi rasilimali hii adimu na muhimu kwa ajili yao na jamii kwa ujumla.

Bw.Richmond alisema kuwa kampuni hiyo imewekeza katika matibabu ya maji taka, ambapo mabwawa na mfumo wa usafishaji unatumika ili kuhakikisha kuwa maji taka yanayorejea kwenye ziwa yako katika hali ya usafi na salama kwa mazingira.

" K a m p u n i i n a j i t a h i d i kuhakikisha kuwa hakuna hata tone moja la maji linapotea. Na pia tumehakikisha kuwa wafanyakazi wetu wanatambua kuwa maji ni tunu ambayo imewekwa kwa ajili ya maisha yetu. Kufunga mita imekuwa mwelekeo wetu muhimu na kuendesha uwajibikaji wa idara kwa ajili ya matumizi ya maji," alisema.

Alisema kwasababu matumizi ya nishati na maji yana uhusiano wa karibu, kampuni imeweka mikakati na mpango wa uboreshaji kuletwa pamoja na kutekeleza programu ya maji.

“Kampuni ya TBL ambayo iko kwenye mwambao wa Ziwa Victoria ilianza na uzalishaji na usambazaji wa chini ya lita milioni 10 za bia na imekuwa na kufikia zaidi ya lita milioni 75 lita za bia mwaka jana. Hii ni zaidi ya mara mbili ya ukuaji kwa mwaka tangu miaka 18 iliyopita, “alisema Raymond.

Tuzo hiyo ambayo ilikabidhiwa kwa TBL na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Tereza Luoga Hovisa, ina maana kwamba TBL Mwanza inajiweka tayari kwa ajili ya tuzo ya kikanda ambayo itashirikisha washindi kutoka Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.


No comments:

Post a Comment