Na Eliasa Ally, Mufindi
MKUUwaPolisi WilayayaMufin di, OCDAmbwe
ne Mwanya siamewataka wagangawa jadi kuachamaramo jakuwapa tiamajamb azi dawa
iliwa siwezekuk amatwanapolisi.Ambwene alisema
waganga hao badalayak ufanya hivyo wa natakiwa kuwap ati adawap olisiy
akuwaonanakufani kiwakuwa kamata ma jambaziwana ofanyauhalifukila mara.
Akizungumza na waganga wa jadina tibaasi liakutokaMufin di katik aU kum biwa Halmas hauriyaMufin di, OCDMwanyasialisemakuwakumezuk a tabia ya baadhi yawagangawajadik uw apatia ma jambazi daw a il i baad ayakufanyama tukio yakiuhalifuwasionekane nawalawas ikamatwe .Alise makuwa, umefika wak ati uhalifuuch ukiwena kilamtunakuwatakaw agangasas awageukenakuwapatia polisi da waw awakama te majambazi kiurahi si.
Alisemakuwa,Jeshi la Polisi limejiki takatikam amboma kubwamatatua mbayo aliyat ajakuwa nipo lisi jamii, haliya w eledi na ha liyausasaamb apoalisemakuw aku tokana namambohayoipoha jakubwak wa sasa wa ganga wa jadi kugeuk aupand ewapili nakuuchukiau halifua mb apoaliwataka wasaidiane na Jeshi la Polisi.
"N yinyi waga ngaw ajadi
natibaasiliakaziyen uku bwani kutib umagon jwa yan ayowas ibuwatun a
siyokutibumbinuza majambaziili wasiwewana kamatwawanapofany auhalifu,
hapotutakuwa hatusa idiani, badalay awa ganga kuwawachonganish isa sawawewa
unganishaji wa wananchi, polisi najamii.
"Ba dalayak utoadawayasisi
polisitusiw aon ewala tusiwa kam atemaja mbaz is asanyinyiw aganga, mtoedaway
akutu wezesh akuwaonanakuwakama takiurah isimaja mbaziwa naofanyauh alifuka
tikajamii yetu huo ndiyo ushirikiano na polisi jamii tunayoizungumzia,"
alisema OCD Mwanyasi.
Aidha, aliwataka
waganga hao kuhakikisha kuwa wanafanya kazi kwa umakini na kuwataka kuwa
shughuli zao zisiwe chanzo cha kutokea kwa maovu, kufumbia macho maovu na
kusababisha jamii iwachukie waganga na polisi kutokana na kukosekana kwa
ushirikiano.
No comments:
Post a Comment