15 July 2013

MCHAKATO SHERIA YA KURAHISISHA UWEKEZAJI NJE WAANZA SERIKALINI


Na Reuben Kagaruki
SERIKALI kupit iaofisiyawa z i r i m kuui mean za mchaka to w a kuipitia upyasheriayauwekezaji ili kuw ez eshaWatanzania kuwekeza njeyanchi.
Kaulihi iimetol ewana Mkurugen zi Mt endaji waKituo chaUweke za ji Tanzania,Ju lietKai ruki, mbeleyawaandishi w ahab arijijiniDaresSal aamhivik aribuniwakati akiz ind uaripo ti ya uwekez aji wakigenid uniani yamw aka2013ambayo huandaliwa naShir ika la Umoja waMataifalaBiashara na Maendeleo (UCTAD ).
Kwam ujibuwa ri potihiyo, Tanzan iahaiku wan auwe kezajiwowo teul iofanyika .Alisemahatuahi yoitasaidiak uongeza mtaji,kupa tafedhazaid izakigeni, kuima rishau chumi nam ae ndeleokwauj umla.

“H iiinatokana na sera iliyopo sasa amba yoh air uhusuWa tanzaniakuwekezanje yanchi b ilamasharti yoyote, ”alisema .
Kwam ujibuwa ripoti hiyo, katikaen eo laAfrika yaMash ariki, Tanzan iaimee ndeleakuf anyavizuriinga wasaf ari hii imek uwaya pilinyu mayaUgandaamba youwekeza jiwake kwamwaka2012ulikuwani dolamilio ni 1,721 hasa kutoka nanaugunduzi wa mafuta katikanch i h iyo.
R ipotiy amzunguk o wafedhazakigen iin aoneshau we kezaji umechangiau kuajiwa uchumi wa Tanzania kw azaidi yaasilimia38yapatolat aifa.
K air uk ialisema wanaiomba Serik ali nabu ng ekuon aumuhim usasawakuw anash eriaen delevuna zinazotab irikakati kauwe kezaji.
“Kwamfa nok ilamwaka misamah ayakod iinabadilikabadilikah ali hiih uyumbisha wawekeza jikwav ile kodizinazotozwazin awekw amwanzoni wakat iwamaadaliziyamiradi kablam aka mpuni hay aja chukuamikopo,”alis ema.
Alifafan uakwamba kubadilisha viwango vyamisam ah akilawak ati huathirimak adirioyag hara mazamradi n a hivyokuwapa wakati mgumuwawekez aji.
Akitoa mfan oalisemakuwamwakah uuk umef an yik a marekebi sho makubwak atikamisamahayak odi ambay otayari imeanzakuo neshadali liyakupungua kwauwekeza ji wand ani kwa kuangalia namba ya miradi mipya inayoandikishwa katika kituo hicho.
Alisema ingawa uwekezaji duniani kwa ujumla ulishuka katika mwaka 2012, Tanzania iliweza kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi hadi kufikia dola za Marekani milioni 1,706 ikilinganishwa na dola 1,229.4 za mwaka 2011.
Ongezeko hilo lilitokana na sekta ya madini hasa katika utafiti na uchimbaji wa gesi asilia na mafuta.
Alisema kama zilivyo nchi nyingine za Afrika, uwekezaji wa kigeni Tanzania umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka na inakadiriwa kuwa ongezeko hilo ni asilimia mbili ya uwekezaji wote wa Afrika.

No comments:

Post a Comment