23 July 2013

MCBL YAPATA FAIDA BENKIyaWa nanchi Mwanga(MCBL) iliy opowilayani Mwanga, mkoaniKili manjarohivi k arib uniimetang azakupata faidayash. milioni74kab laya ko dikwamwaka u liois hiaDe semba31,2 012, anaripoti Mwandishi Wetu.H ayoyameel ezwahivika ribuni naMku rugenziMten daji w aBenkihiyoy aMCBL,Bw.A bby Ghuhia, katik aM kutano M kuuwaW anahisa(AGM)2 013u liofa nyikamakaomakuu y abenk ihiyoiliyopo Wilaya yaMwanga.
M kurugenzi huyo alisema kuwa ìMCBLimepa tafaida ya sh .milioni 74 kab la yak odikwam wakaDese mba3 1,2 012. Malen goyafaidakab laya kodikatikabe nki yet uhayaku fik iwakwas h. milio ni 45a silimia38kuto kana naribazaamana kutokavy omboving ine vya fedhakupand a.Ghara mazaribazilikuwazai dayama lengo kwa sh. milioni 1 63asi lim ia48
.
Aidh a, Bw. Gh uhia al isem a kuwa amanakwenyeBenkiyaMCBLzimeo ngezek akwa sh .milio ni 1,844ambayoni sawanaas ilimia38kutokas h. mi lion i 4,917 ilivy okuwamwaka 2011nakufikiash.milioni 6,762 m waka 20 12.
Bw.Ghuhiaaliongeza kuwa, Am anaza benki ya ke, zi lion gezekanakuzi dimalengokwash.milioni 226amb ayonisawa naasilim ia3, h ivyokuw ez eshamal engoya ukop esh ajikufik iwanakup itwa kwash.619 sawana a silim ia14.
MCBLka tika mwakahu u2013,imejipan gailikuongez aa mana, mi kopo,mapato, kudhibiti gharama namikop o.
Ili kufanikisha Mpango Kazi (Business Plan) huo wa miaka mitano 2013-2017, Bw. Ghuhia, alisema kuwa MCBL inategemea kuongeza amana, mikopo, hisa kupitia vituo vya huduma ilivyofungua Moshi, Same, Kileo na baadaye katika miji ya Hedaru, Njia Panda, Ugweno na Usangi.
Aidha, Mtaji wa hisa wa Benki ya Wananchi Mwanga (MCBL) umeongezeka kutoka kiasi cha sh. milioni 503 hadi kufikia shilingi milioni 555 sawa na ongezeko la shilingi milioni 52 (asilimia 10).
Bw. Ghuhia, alisema kuwa jumla ya mtaji imeongezeka kutoka sh. milioni 1,018 hadi kufikia sh. milioni 1,086 ambayo ni sawa na ongezeko la sh. milioni 68, sawa na asilimia 7.
Kwa upande wake, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MCBL, Bw. Epaineto Toroka, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Bw. Ibrahim Sehushi, alisema kuwa malengo ya mapato ya riba ya mwaka 2012 hayakufikiwa kwa sh. milioni 139 (asilimia 12) kutokana na mikopo inayopitiliza muda wake

No comments:

Post a Comment