22 July 2013

MAZUNGUMZO

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio Afrika Kusini jijini Pretoria, jana muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa za Usalama  ya Jumuiya Ya Maendeleo Kusini mwa Afrika.

No comments:

Post a Comment