25 July 2013

MAZIWA

Mkazi wa jiji akikinga maziwa yaliyokuwa yakimwagika kutoka katika gari la kampuni ya Tanga Fresh, mara baada ya gari hilo kupata ajali kwenye  makutano ya barabara ya Morogoro na Mandela Ubungo Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment